Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Mkuu sijakuelewa vizuri sababu kwa asili mwanamke hana sababu ya DNA Test kwa mtoto wake hadi itokee kuwe na wasi wasi kuwa huwenda alibadilishiwa au kupewa mtoto asiye wake.Mwanamke akifungua madai kuwe Mume sio baba Wa mtoto anasikilizwa lakini Mwanaume inakua ishu ngumu sana mana ikifanyika hivyo ndo nyingi zitakua na migogoro.
Kama mazingira yapo hivi hii ya kwako ya kuwa kwa mwanaume inakuwa ngumu umeitoa wapi Mkuu?. Kumbuka hakuna upendeleo au maswla ya hisia za kuoneana huruma kwenye hili swala la DNA Test.
Ni sharti ukweli ubainike na kila mtu awajibike kwa matendo yake. Na mara nyingi ndoa nyingi hadi zinafikia hapo huwa kuna migogoro tayari