Mkuu hebu rudia upya kunisoma. Nimesema "maskani ya padre". Wewe unaelewa nini kuhusu neno MASKANI? Rudi shule ukasome upya lugha ya Kiswahili.KWANI MAPADRE SIKU HIZI WANAISHI KWAO? UONGO MTUPU MAPADRE WANAISHIPAROKIANI AU KWENYE NYUMZA ZA MAPADRE JAPO WAPO WENYE WATOTO ILA HUWEZI KUWAKUTA ETI WANAISHI NAO PAROKIANI HUO NI UONGO WA MCHANA KWEUPEEEEEE
kwani hawezi kujifungisha ndoa mwenyewe ??Ndoa walifungia kanisa gani wewe mwendawazimu?
Waanze kukuoa weweKuna haja ya kuwaruhusu mapadre kuoa na masista kuolewa. Kitendo cha mapadre kuwageuza masista kuwa "wake" zao kimeota mizizi ndani ya kanisa katoliki. Sioni sababu ya msingi ya kuendelea kuwatesa hawa watu kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu. Mbona maaskofu wa madhehebu mengine, akina Dr Malasusa, wameona na wanapiga injili bila shida. Kanisa katoliki acheni huu uhafidhina usiokuwa na kichwa wala miguu. Kama hilo haliwezekani, basi wawaruhusu mapdre kuwaoa masista hadharani kuliko wanavyowageuza kuwa wake zao kwa kificho.
Kwani Dr Malasusa hujawahi kusikia kashfa zake za ngona na wanausharika?Kuna haja ya kuwaruhusu mapadre kuoa na masista kuolewa. Kitendo cha mapadre kuwageuza masista kuwa "wake" zao kimeota mizizi ndani ya kanisa katoliki. Sioni sababu ya msingi ya kuendelea kuwatesa hawa watu kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu. Mbona maaskofu wa madhehebu mengine, akina Dr Malasusa, wameona na wanapiga injili bila shida. Kanisa katoliki acheni huu uhafidhina usiokuwa na kichwa wala miguu. Kama hilo haliwezekani, basi wawaruhusu mapdre kuwaoa masista hadharani kuliko wanavyowageuza kuwa wake zao kwa kificho.
Hili jambo ni gumu sana mkuu. That is why nimesema hawa jamaa waruhusiwe tu kuoa, isiwe taabu. Kwanini tuwanyanyase kiasi hiki ilhali nao ni binadamu wanahitaji kudinya na kudinywa.Kuoa ama kuishi kinyumba na mwanamke yaani pika pakua hadi kila mtu ajue tena eneo hilohilo analotoa huduma ni ngumu.
Ila wana vimada mitaani na watoto juu pia wapo wanaoshikwa hadi ugoni wakiwat*mbea waumini.
Mapdre ni watu wenye akili sana, wamesoma na taaluma nyingi.Sio kila Mtu anaweza hiyo Kazi ila kutokana na njaa za MAISHA watu wengi uenda huko ili Kupata assurance ya MAISHA.
Kumbe unajuwa kuwa Dr Malasusa ni mwasherati!!Sijawahi kusikia mkuu ila nafahamu Dr Malasusa ni mkware sana na anatuhumiwa kula wake za watu ovyovyo
Hawajanyannyaswa kwa kuwa kanisa la RC halilazimishi mtu kuwa Padre. Isitoshe wakigundua kuwa kijana ni hanithi (hadindishi) halafu anataka kuwa Padre basi hiyo ni automatic disqualificationHili jambo ni gumu sana mkuu. That is why nimesema hawa jamaa waruhusiwe tu kuoa, isiwe taabu. Kwanini tuwanyanyase kiasi hiki ilhali nao ni binadamu wanahitaji kudinya na kudinywa.
Wewe unaona wanaume rijali kuzuiliwa kudinya ni sahihi? Je, wewe ukizuiwa kudinya utajisikiaje?Hawajanyannyaswa kwa kuwa kanisa la RC halilazimishi mtu kuwa Padre. Isitoshe wakigundua kuwa kijana ni hanithi (hadindishi) halafu anataka kuwa Padre basi hiyo ni automatic disqualification
ni hiyari kuingia kwenye utumishi huoSijawahi kusikia mkuu ila nafahamu Dr Malasusa ni mkware sana na anatuhumiwa kula wake za watu ovyo.
Wamezuiliwqje?Wewe unaona wanaume rijali kuzuiliwa kudinya ni sahihi? Je, wewe ukizuiwa kudinya utajisikiaje?
Upadre ni hiari, wanaotaka kuoa huwa wanaacha upadri na kuanzisha familiaKuna haja ya kuwaruhusu mapadre kuoa na masista kuolewa. Kitendo cha mapadre kuwageuza masista kuwa "wake" zao kimeota mizizi ndani ya kanisa katoliki. Sioni sababu ya msingi ya kuendelea kuwatesa hawa watu kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu. Mbona maaskofu wa madhehebu mengine, akina Dr Malasusa, wameoa na wanapiga injili bila shida. Kanisa katoliki acheni huu uhafidhina usiokuwa na kichwa wala miguu. Kama hilo haliwezekani, basi wawaruhusu mapdre kuwaoa masista hadharani kuliko wanavyowageuza kuwa wake zao kwa kificho.