Maoni yako yaheshimiwe, ila hayana uzito wala umuhimu.Naunga mkono hoja, nilipandisha bandiko kushauri mapadri wa Katoliki waoe, lilifutwa fasta!.
P
Naunga mkono hojaNaunga mkono hoja, nilipandisha bandiko kushauri mapadri wa Katoliki waoe, lilifutwa fasta!.
P
Unafahamu maana ya neno ndoa? Rudi shule ukasome ndipo ujue kitendo ulichofanya ni zaidi ya kuoa. Tamaa za mwili zitakupeleka jehanamu. Tii miiko na sheria za kanisa; punguza tamaa za mwili mkuu.Ndoa walifungia kanisa gani wewe mwendawazimu ?
Mapapai hayo yanajulikna. Kijana anafanya nini hapo, ullimuuliza?Wewe kwa kuwa mnaruhusiwa kuolewa wake wanne unaona sio jambo la jabu mkuu?
🤨😏Hayo maisha ya kimungu ni yapi yaorodheshe hapa ?
Na wewe ulikuwa unapita kwa padri ukakuta mwanamke ukashangaa? Au ndiyo walewale? Umekuta mambo yamebadilika ukazimia?Kijana alikuwa mpita njia tu lakini anaishi jirani na maskani ya padre....so anafahamu kila kitu kinachoendelea ndio maana hakusita kuniambia ukweli hadharani.
Tena kwa akili nyingi mnoo hawatumii nguvu Kwa kuwa wengi ni wasomi pia,,,tofauti na hawa manabii wengine!!!Jiandae na mashambulizi kutoka kwa wanafunzi na waumini wao.... ila ukweli mchungu, mapadre wanaishi maisha ya kidunia mnoooo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na weweulikuwa unapita kwa padri ukakuta mwanamke ukashngaa? Au ndiyo walewale? Umekuta mambo yamebadilika ukazimia?
Unadhani mapadre wote wanakaa monastery? Kama hujui jambo bora uulize kuliko kuonesha ushamba wako hadharani.Padri wa kanisa Katoliki anakaa kwenye maskani yake mtaani! Kajitu hakalijui kanisa Katoliki kana anzisha uzi wa kijinga kuwaaminisha wajinga.