Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba leo akiwa Dodoma amekutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi ishu ambayo imekua gumzo nchini kuhusu masuala ya tozo kwenye miamala ya simu na benki ambapo hizi ni baadhi ya nukuu ya alichokisema.
“Kwanini mwaka huu tozo ziliendelea tena?, tumeendelea tena kwasababu tumeshafanya kwenye madarasa na vituo vya afya lakini kuna mambo ya msingi ambayo yana umuhimu wa kuchukuliwa hatua kwa haraka sana”
“Tunahitaji kuweka nguvu kubwa sana kwenye shughuli za uzalishaji, tatizo la ajira kwa Vijana ni kubwa mno, Watu wasio na kipato nchini ni wengi sana, kila wanapomaliza darasa la saba kuna Watoto laki mbili hawaendelei na kidato cha kwanza na kila wanapomaliza kidato cha nne kuna Watoto karibu laki tatu hawaendelei kidato cha tano, tumewahi kujiuliza wanaenda wapi na ‘future’ yao ipoje?”
“Tumeshajiuliza wale wanaohitimu na hawaingii Ofisini wanaenda wapi!?, hakuna Kijiji hata kimoja ambacho hakina Mhitimu ambaye hana kazi ndio maana Rais anasema tuweke nguvu kubwa kwenye shughuli za uzalishaji, ndio maana tumeweka pesa nyingi kwenye kilimo ili Vijana wengi watengeneze kipato…. hawa ambao hawana ajira”
“Mnyororo wa umasikini mkiubariki inakuwa unabaki hivyohivyo haundoki kwahiyo zaidi ya Trilioni 1 zimeenda kwenye kuongeza nguvu kwenye uzalishaji upande wa kilimo, uvuvi, Wamachinga” ——— amesema Waziri Nchemba,
Dah😞😄Unaifahamu VIEITE wewe ?
Wanaleta janja janja tuWananchi masikini, viongozi wanaishi kifahari.
Serikali haina mpango wa kubana matumizi.
😳Wananchi masikini lakini viongozi wao wanaishi maisha ya kifahari sana. Wanaendeshwa kwenye magari ya kifahari, wanaishi kwenye mijumba ya kifahari. Haya ndiyo matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere.
Mwigulu ni [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]tuWaziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba leo akiwa Dodoma amekutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi ishu ambayo imekua gumzo nchini kuhusu masuala ya tozo kwenye miamala ya simu na benki ambapo hizi ni baadhi ya nukuu ya alichokisema.
“Kwanini mwaka huu tozo ziliendelea tena?, tumeendelea tena kwasababu tumeshafanya kwenye madarasa na vituo vya afya lakini kuna mambo ya msingi ambayo yana umuhimu wa kuchukuliwa hatua kwa haraka sana”
“Tunahitaji kuweka nguvu kubwa sana kwenye shughuli za uzalishaji, tatizo la ajira kwa Vijana ni kubwa mno, Watu wasio na kipato nchini ni wengi sana, kila wanapomaliza darasa la saba kuna Watoto laki mbili hawaendelei na kidato cha kwanza na kila wanapomaliza kidato cha nne kuna Watoto karibu laki tatu hawaendelei kidato cha tano, tumewahi kujiuliza wanaenda wapi na ‘future’ yao ipoje?”
“Tumeshajiuliza wale wanaohitimu na hawaingii Ofisini wanaenda wapi!?, hakuna Kijiji hata kimoja ambacho hakina Mhitimu ambaye hana kazi ndio maana Rais anasema tuweke nguvu kubwa kwenye shughuli za uzalishaji, ndio maana tumeweka pesa nyingi kwenye kilimo ili Vijana wengi watengeneze kipato…. hawa ambao hawana ajira”
“Mnyororo wa umasikini mkiubariki inakuwa unabaki hivyohivyo haundoki kwahiyo zaidi ya Trilioni 1 zimeenda kwenye kuongeza nguvu kwenye uzalishaji upande wa kilimo, uvuvi, Wamachinga” ——— amesema Waziri Nchemba,
Huyu ni mwakilishi wa mipango ya raisi sasa anamwaribia vipi.Huyu ndiye anayemharibia Rais wetu.
Jamaa ni mlaghai kuanzia utosi mpaka unyayo.
Nyerere alikuwa akiishi kimasikini na hata alipojengewa nyumba kubwa huko kijijini kwake Butiama alisema hana haja na nyumba kubwa maana yeye sio Tembo !! Nyerere alianzisha misingi mizuri lakini alishindwa kuikamilisha kwa kuondoka madarakani bila kuibadili katiba ambayo mwenyewe alikiri kuwa sio nzuri !! Kwa taarifa yako ni kwamba misingi mizuri ilikuja kubadilishwa na utawala wa Mzee Ruksa kupitia Azimio la Zanzibar !! Misingi yote mizuri ya utawala na nidhamu vikatupiliwa mbali !! Sasa hivi kila mtu anafikiria kujilimbikizia mimali tu !! Kila mtu akipata nafasi anafikiria namna gani atajirike kupitia mezani kwake na aishi kifahari !! Hii kitu kipindi cha Nyerere haikuwepo !! Kama wapo watu wamekaririshwa ubaya wa kumhusu Nyerere wawaulize watu waliokuwepo enzi hizo !! Siku zote historia hupotoshwa !!Wananchi masikini lakini viongozi wao wanaishi maisha ya kifahari sana. Wanaendeshwa kwenye magari ya kifahari, wanaishi kwenye mijumba ya kifahari. Haya ndiyo matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere.
Ukitaka kufatilia sana porojo za kisiasa hapa... nchini kila siku utaona mambo ni mapya tuu... ivi kwenye karne hii ambayo sayansi na teknolojia ilivyo panuka hivi bado tuu, serikali inazungumuzia mambo kama haya... maraWaziri wa Fedha na Mipango Dr. Mwigulu Nchemba leo akiwa Dodoma amekutana na Waandishi wa Habari kutolea ufafanuzi ishu ambayo imekua gumzo nchini kuhusu masuala ya tozo kwenye miamala ya simu na benki ambapo hizi ni baadhi ya nukuu ya alichokisema.
“Kwanini mwaka huu tozo ziliendelea tena?, tumeendelea tena kwasababu tumeshafanya kwenye madarasa na vituo vya afya lakini kuna mambo ya msingi ambayo yana umuhimu wa kuchukuliwa hatua kwa haraka sana”
“Tunahitaji kuweka nguvu kubwa sana kwenye shughuli za uzalishaji, tatizo la ajira kwa Vijana ni kubwa mno, Watu wasio na kipato nchini ni wengi sana, kila wanapomaliza darasa la saba kuna Watoto laki mbili hawaendelei na kidato cha kwanza na kila wanapomaliza kidato cha nne kuna Watoto karibu laki tatu hawaendelei kidato cha tano, tumewahi kujiuliza wanaenda wapi na ‘future’ yao ipoje?”
“Tumeshajiuliza wale wanaohitimu na hawaingii Ofisini wanaenda wapi!?, hakuna Kijiji hata kimoja ambacho hakina Mhitimu ambaye hana kazi ndio maana Rais anasema tuweke nguvu kubwa kwenye shughuli za uzalishaji, ndio maana tumeweka pesa nyingi kwenye kilimo ili Vijana wengi watengeneze kipato…. hawa ambao hawana ajira”
“Mnyororo wa umasikini mkiubariki inakuwa unabaki hivyohivyo haundoki kwahiyo zaidi ya Trilioni 1 zimeenda kwenye kuongeza nguvu kwenye uzalishaji upande wa kilimo, uvuvi, Wamachinga” ——— amesema Waziri Nchemba,
Vyema kabisaUkitaka kufatilia sana porojo za kisiasa hapa... nchini kila siku utaona mambo ni mapya tuu... ivi kwenye karne hii ambayo sayansi na teknolojia ilivyo panuka hivi bado tuu, serikali inazungumuzia mambo kama haya... mara
#Ukosefu wa matundu ya vyoo mashuleni
#Ukosefu wa madarasa mashuleni..
#ukosefu wa waalimu mashuleni
#ukosefu wa vitabu mashuleni...
#ukosefu wa maji
#uduma za afya
Hii nchii hatuwezi kufika popote tunapo taka iwepo
Tatizo la nchii hii siyo huyu waziri wa fedha wala viongozi wengine. TATIZO LA TANZANIA, NI WATANZANIA Wenyewe .....
Akili zetu zimelala sana, inabidi tuamuke na... tukiamuka tutajua tunakwama wapi, na wapi tuanzie..... NAOMBA TUANZE NA MAANDAMANO YA KATIBA ....HIYO NDIYO SULUHISHO LA MATATIZO YETU YOTE....
🤣ukitaka kutawala vizuri watu maskini wakamue kwa tozo za kutosha wabaki empty, wakati wakizagaa mitaani huku na huko wakihaha kutafuta maisha na msosi we unakaa zako na benchi lako la ufundi Singida Big Stars kupiga stori na wabrazil!!
Kelele za "wajinga" zinaingia sikio moja na kutokea la pili ushahidi ni kwa hii sentensi "nimeona tuendelee na tozo kama mwaka jana".
Nyerere alikuwa akiishi kimasikini na hata alipojengewa nyumba kubwa huko kijijini kwake Butiama alisema hana haja na nyumba kubwa maana yeye sio Tembo !! Nyerere alianzisha misingi mizuri lakini alishindwa kuikamilisha kwa kuondoka madarakani bila kuibadili katiba ambayo mwenyewe alikiri kuwa sio nzuri !! Kwa taarifa yako ni kwamba misingi mizuri ilikuja kubadilishwa na utawala wa Mzee Ruksa kupitia Azimio la Zanzibar !! Misingi yote mizuri ya utawala na nidhamu vikatupiliwa mbali !! Sasa hivi kila mtu anafikiria kujilimbikizia mimali tu !! Kila mtu akipata nafasi anafikiria namna gani atajirike kupitia mezani kwake na aishi kifahari !! Hii kitu kipindi cha Nyerere haikuwepo !! Kama wapo watu wamekaririshwa ubaya wa kumhusu Nyerere wawaulize watu waliokuwepo enzi hizo !! Siku zote historia hupotoshwa !!
Pamoja na yote yaliyosemwa na yatakayosemwa lakini ukweli unabaki kuwa Nyerere aliishi maisha ya kawaida sana na hakuwapendelea hata watoto wake na wala hakujilimbikizia mali !! Japo alijitengenezea ufalme na kuwa na madaraka makubwa sana yasiyohojiwa na mtu yeyote lakini bado aliishi maisha ya kawaida sana na wala hakujilimbikizia mali wala hakufanya upendeleo wowote kwa ndugu zake wala kwa watoto wake!! Kwa ufupi ni kwamba pamoja na nguvu alizokuwanazo kimamlaka lakini hakuzitumia nguvu hizo kujilimbikizia mali wala kuishi maisha ya kifahari !!Unatumia propaganda kumsafisha huyo Nyerere lakini hasafishiki. Nyerere ndiye muasisi wa mfumo mbovu uliopo, ushahidi huu hapa
Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!
Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:www.jamiiforums.com