Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu?!

Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao yalikuwa mwanaume mweusi kidogo, mrefu na mwembamba kiasi.

Lakini ajabu ni kuwa licha ya kupenda wanaume weusi wengi hawataki kuzaa watoto weusi, na wengi hujisikia vibaya kupata watoto weusi. Huku Wale waliopata watoto weupe wakijivunia na kujionea fahari kwa uzao huo.

Sisi wanaume weusi, wafupi na vibonge twende wapi?​
 
Mimi kwa mtazamo wangu na tafiti nilizofanya, kiuhalisia wanawake wanapenda wanaume weupe na smart, ila wengi wao hujificha kwa kusema wanapenda wanaume weusi, ni inferiority complex.

Usimwamini mwanamke anachokizungumza , huwa mara nyingi hamaanishi hivyo....

Ukiwauliza utaona kuwa Wengine wanahofia kuwa mwanaume mweupe anatazamwa na kila mtu, au wanahofia kuzidiwa uzuri/ muonekano
 
😀😀😀
Ngoja wanakuja
 
Wanaume weusi wanapendwa na wanawake sababu wanaamini "Wako So Wild in Bed", kwamba wanayajua mambo na wako so romantic.

Wanaume weupe wanaonwa na wanawake kama wako nyoronyoro sana kitandani, yani hawatoi ile mikazo ya kuvunja chaga.

Ila sasa wakishaolewa usishangae anachepuka na mwanaume mweupe ili tuu apate mtoto mweupe😂
 
Huu ndio ukweli na uwe mzuri na lengo wazae watoto weupe na wazuri kama alivyosema mtoa mada..
 
Ipo hivi wanawake weupe hupenda wanaume weusi na wanaume weupe hupenda wanawake ambao sio weupe au weus yaan katkat.. me ni mweupe ila sipendag wanawake weupe na sijawai kumtongoza mwanamke mweupe na nina mpango wa kuoa wife sio mweupe
Mimi sichagui rangi kiukweli japo wanawake weusi wakiwa wazuri huwa ni Wazuri kweli kweli.
 
Wanaume weusi wanapendwa na wanawake sababu wanaamini "Wako So Wild in Bed", kwamba wanayajua mambo na wako so romantic.

Wanaume weupe wanaonwa na wanawake kama wako nyoronyoro sana kitandani, yani hawatoi ile mikazo ya kuvunja chaga.

Ila sasa wakishaolewa usishangae anachepuka na mwanaume mweupe ili tuu apate mtoto mweupe😂
Hapo ndio ujue ni kwanini wahenga wakaweka maneno, "kutaka" na "kupenda"
 
Back
Top Bottom