Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

Ila kiukweli kabisa sio mwanaume au mwanamke maji ya kunde anaependa kuzaa na mwanamke mweusi mfano wanaume weusi wenye hela kuna ambaye kaoa mwanamke mweusi
 
Mi nakataliwa sanaa hadi nakarbia kuloga...kila dem nkitupia kambaa dem ananambia siwez kuwa kweny folen akimaanisha hatakuwa mwenyew..hii hali inanisumbua haswaa hadi nataman nimu inbox mshana
 
Wanawake kupenda wanaume weusi ni matokeo ya kuangalia pon
 
Mshua aliibiwa hamna kitu baba mweusi mama mweusi uzae watoto weupe
Elimu,elimu,elimu.Nimekuita mara tatu.Kuna suala la genes za kifamilia/ koo.Ukashangaa wazazi weusi lkn mtoto mweupe.Chunguza historia utaambiwa... hata bibi aliyemzaa babu yake mzaa baba/mama alikuwa mweupe hivyo hivyo. ..damu inaanzia mbali sana.
 
kiukweli mkuu sisi wanawake huwezi kutuelewa,juzi hapa mama alikuwa analia baada ya watoto wawili kufa kwa kansa ya ngozi
Tiririka nami(ni siri lakini navujisha)
Mwanamke mrembo cheupe aliolewa na hb wake mweusi kama alivyomchagua (anasema mmewe alikuwa andisamu),basi Mungu kawapa uzao mtoto wa kwanza wa kike akatoka kopy baba mtupu (sura ya baba na rangi ya kijaruo)mama hakupenda kabisa akasema iweje mimi mrembo mweupe nizae mtoto mweusi?akasema labda akiendelea kukua atabadilika rangi na kuwa mrembo kama yeye, lakini mpaka anafikisha miaka mitatu bado ni kopy ya baba yake akamwanzishia mkorogo na pia akaanza kumpost insta wanamsifia akajaa bichwa.
Akabeba mimba ya pili akatoka wa kike kopy ya baba,sasa akawaza na kuwazua akaona suluhisho ni kumuwahi akiwa na miezi miwili tu akamuanzishia mkorogo kweli akawa amewini mtoto white white,baada ya kutimiza mwaka mtoto akaanza kuumwa ugonjwa haueleweki ndo kuchunguza zaidi madaktari wakasema kansa inshamla tyari basi hakukaa sana akafa baada ya huyo akaja mkubwa japo alichukua mda kuliko yule mdogo lakini naye akafa kwa ugonjwa huohuo(siri anayo mama na hajawahi kumwambia mtu maana mme akijua ataua mtu,amebaki nalo moyoni anasema labda ningekuwa hata na elimu ya form four watoto wangu nisingewafanyia haya kiukweli anajuta

😲😲😲😲
Huyo kavunja Rekodi.
 
Back
Top Bottom