Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
[emoji3][emoji3]
Contradicting!
Mikingamo!
Contradicting!
Mikingamo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kuna mwanasiasa mashuhuri nchini ni mweupe peee na anapendwa sana na my wife wakeMoja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao yalikuwa mwanaume mweusi kidogo, mrefu na mwembamba kiasi.
Atachukua tu hela zako halafu anampelekea anayempenda ambaye Hana kitu. Wee fikiria unajituma kutafuta pesa halafu dume lengine halina kitu linapewa hela zako " hard earned money".Chief tafuta pesa kisha pelekea moto..utaonekana mweupe na mrefu yani uhb wote utakuwa nao wewe.
#MaendeleoHayanaChama
Hiyo ni kawaida sana, Kwasababu Kuna watu wanapenda waoe wake wengi, lakini hawapendi wake zao wazae watoto wa kike.( Sasa replacement itafanyikaje kama wanawake wote watazaa watoto wa kiume?. Kwahiyo, watoto wote ni BARAKA (me&ke).Kwema Wakuu?!
Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao yalikuwa mwanaume mweusi kidogo, mrefu na mwembamba kiasi.
Lakini ajabu ni kuwa licha ya kupenda wanaume weusi wengi hawataki kuzaa watoto weusi, na wengi hujisikia vibaya kupata watoto weusi. Huku Wale waliopata watoto weupe wakijivunia na kujionea fahari kwa uzao huo.
Sisi wanaume weusi, wafupi na vibonge twende wapi?
Nendeni kwa Yesu🤣🤣🤣Kwema Wakuu?!

Nendeni kwa Yesu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣wanaogopa mabomuHaha au Urusi
Kuna kaukweli hapa, mahb hukataliwa si kwasababu hapendwi ila kamzidi uzur dem anaemtongoza. Dem anaogopa ushindani anajikuta anakua na mtu anaemmudu.Mimi kwa mtazamo wangu na tafiti nilizofanya, kiuhalisia wanawake wanapenda wanaume weupe na smart, ila wengi wao hujificha kwa kusema wanapenda wanaume weusi, ni inferiority complex.
Usimwamini mwanamke anachokizungumza , huwa mara nyingi hamaanishi hivyo....
Ukiwauliza utaona kuwa Wengine wanahofia kuwa mwanaume mweupe anatazamwa na kila mtu, au wanahofia kuzidiwa uzuri/ muonekano
[emoji23][emoji23] mimi wazazi wangu weusi ila dada yangu mkubwa mweupe. TusikaririSasa baba mweusi...mama mweusi..kinazaliwa kicheche cheusii tii...natimua mbio..yaan ile katuni ya haki elimu ikasome..
Mnoo [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vita dhidi ya wanawake n kubwa mno
[emoji23][emoji23]Wanaume weusi na roho zao nyeusi