Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mungu mwenyewe hawaelewi wanawake sisi tutawaelewa vipi . Achana nao
USSR
Mimi kwa mtazamo wangu na tafiti nilizofanya, kiuhalisia wanawake wanapenda wanaume weupe na smart, ila wengi wao hujificha kwa kusema wanapenda wanaume weusi, ni inferiority complex.
Usimwamini mwanamke anachokizungumza , huwa mara nyingi hamaanishi hivyo....
Ukiwauliza utaona kuwa Wengine wanahofia kuwa mwanaume mweupe anatazamwa na kila mtu, au wanahofia kuzidiwa uzuri/ muonekano
Sasa mkuu Kama wewe Taikon was fasihi Tz nzima umekosa majibu , Mimi Ni. Nani Hadi nijue?!😀😀😀
Ngoja wanakuja
Sasa baba mweusi...mama mweusi..kinazaliwa kicheche cheusii tii...natimua mbio..yaan ile katuni ya haki elimu ikasome..
Huu ndio ukweli na uwe mzuri na lengo wazae watoto weupe na wazuri kama alivyosema mtoa mada..Mimi kwa mtazamo wangu na tafiti nilizofanya, kiuhalisia wanawake wanapenda wanaume weupe na smart, ila wengi wao hujificha kwa kusema wanapenda wanaume weusi, ni inferiority complex.
Usimwamini mwanamke anachokizungumza , huwa mara nyingi hamaanishi hivyo....
Ukiwauliza utaona kuwa Wengine wanahofia kuwa mwanaume mweupe anatazamwa na kila mtu, au wanahofia kuzidiwa uzuri/ muonekano
Hakuna mtoto huwa anazaliwa akiwa mweusi Bali kadiri anavyokua ndio anabadilika.Sasa baba mweusi...mama mweusi..kinazaliwa kicheche cheusii tii...natimua mbio..yaan ile katuni ya haki elimu ikasome..
Mimi sichagui rangi kiukweli japo wanawake weusi wakiwa wazuri huwa ni Wazuri kweli kweli.Ipo hivi wanawake weupe hupenda wanaume weusi na wanaume weupe hupenda wanawake ambao sio weupe au weus yaan katkat.. me ni mweupe ila sipendag wanawake weupe na sijawai kumtongoza mwanamke mweupe na nina mpango wa kuoa wife sio mweupe
Hapo ndio ujue ni kwanini wahenga wakaweka maneno, "kutaka" na "kupenda"Wanaume weusi wanapendwa na wanawake sababu wanaamini "Wako So Wild in Bed", kwamba wanayajua mambo na wako so romantic.
Wanaume weupe wanaonwa na wanawake kama wako nyoronyoro sana kitandani, yani hawatoi ile mikazo ya kuvunja chaga.
Ila sasa wakishaolewa usishangae anachepuka na mwanaume mweupe ili tuu apate mtoto mweupe😂