Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

Mbona kuna mwanasiasa mashuhuri nchini ni mweupe peee na anapendwa sana na my wife wake
 
Ndivyo walivyo, mambo yao waachie wenyewe...
 
Chief tafuta pesa kisha pelekea moto..utaonekana mweupe na mrefu yani uhb wote utakuwa nao wewe.

#MaendeleoHayanaChama
Atachukua tu hela zako halafu anampelekea anayempenda ambaye Hana kitu. Wee fikiria unajituma kutafuta pesa halafu dume lengine halina kitu linapewa hela zako " hard earned money".
 
Hiyo ni kawaida sana, Kwasababu Kuna watu wanapenda waoe wake wengi, lakini hawapendi wake zao wazae watoto wa kike.( Sasa replacement itafanyikaje kama wanawake wote watazaa watoto wa kiume?. Kwahiyo, watoto wote ni BARAKA (me&ke).
Hatahivyo, mtazamo huo (kutaka watoto weupe) siyo wa wanawake wote ila baadhi yao.
 
Nendeni kwa Yesu🤣🤣🤣
 
binafsi mm ni mweupe, hapo zamani nikiwa kijana barobaro wanawake wengi walikua wananikataa sababu nilionekana mtoto wa mama(wanawaita hb) na kudai kuwa nitawasumbua ila kadiri siku zinavozidi kwenda nimebaini wanawake wengi wanatamani kuzaa na mm ili tu wapate rangi nzur ya mtoto
 
Kuna kaukweli hapa, mahb hukataliwa si kwasababu hapendwi ila kamzidi uzur dem anaemtongoza. Dem anaogopa ushindani anajikuta anakua na mtu anaemmudu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vita dhidi ya wanawake n kubwa mno
 
Kwa hiyo Sisi Rangi ya Maji ya kunde Tupo upande Upi?
 
Sasa baba mweusi...mama mweusi..kinazaliwa kicheche cheusii tii...natimua mbio..yaan ile katuni ya haki elimu ikasome..
[emoji23][emoji23] mimi wazazi wangu weusi ila dada yangu mkubwa mweupe. Tusikariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…