Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Tena akiwa mweusi sana wanasema cheusi mangala wanawake hapa duniani hata hawaeleweki huwa wanataka niniSasa baba mweusi...mama mweusi..kinazaliwa kicheche cheusii tii...natimua mbio..yaan ile katuni ya haki elimu ikasome..
Mimi kwa mtazamo wangu na tafiti nilizofanya, kiuhalisia wanawake wanapenda wanaume weupe na smart, ila wengi wao hujificha kwa kusema wanapenda wanaume weusi, ni inferiority complex.
Usimwamini mwanamke anachokizungumza , huwa mara nyingi hamaanishi hivyo....
Ukiwauliza utaona kuwa Wengine wanahofia kuwa mwanaume mweupe anatazamwa na kila mtu, au wanahofia kuzidiwa uzuri/ muonekano
Hapo mzee wako alipigwa[emoji1787][emoji23][emoji23] mimi wazazi wangu weusi ila dada yangu mkubwa mweupe. Tusikariri
Sasa baba mweusi...mama mweusi..kinazaliwa kicheche cheusii tii...natimua mbio..yaan ile katuni ya haki elimu ikasome..
Nendeni kwa Yesu🤣🤣🤣
Si kweli
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vita dhidi ya wanawake n kubwa mno
Sana,toka moyoni yaanWewe unapenda Mtoto mweusi?
binafsi mm ni mweupe, hapo zamani nikiwa kijana barobaro wanawake wengi walikua wananikataa sababu nilionekana mtoto wa mama(wanawaita hb) na kudai kuwa nitawasumbua ila kadiri siku zinavozidi kwenda nimebaini wanawake wengi wanatamani kuzaa na mm ili tu wapate rangi nzur ya mtoto
Sana,toka moyoni yaan
Wanawake wanapenda wanaume weusi Ila siyo weusi Kama ngolo Kante,uwe na tangu flan chokoleti...yaani watakaa genge kukujadiliMimi kwa mtazamo wangu na tafiti nilizofanya, kiuhalisia wanawake wanapenda wanaume weupe na smart, ila wengi wao hujificha kwa kusema wanapenda wanaume weusi, ni inferiority complex.
Usimwamini mwanamke anachokizungumza , huwa mara nyingi hamaanishi hivyo....
Ukiwauliza utaona kuwa Wengine wanahofia kuwa mwanaume mweupe anatazamwa na kila mtu, au wanahofia kuzidiwa uzuri/ muonekano
Afu ungejua wanaume weusi Ndo wapo kwenye soko Kwa Sasa.wanawake wa kileo wanawapenda wanaume weusiBasi tumepata Mtetezi Sisi weusi
Afu ungejua wanaume weusi Ndo wapo kwenye soko Kwa Sasa.wanawake wa kileo wanawapenda wanaume weusi
Ningeweza ningeweka picha hapa, baba kama mwanae kila kitu kasoro rangi. Nina mdogo wangu nae cheupe ila wa kati kati hapa ndio weusi.Hapo mzee wako alipigwa[emoji1787]
Mpenz wangu ni mweusi pia japo siyo sanaSo wewe unapenda wanaume weusi?
Mwanaume mweupe anakua ni kama mwanamke mwenzie bana we nae, hawezi kumvutia hata kidogo...Mimi kwa mtazamo wangu na tafiti nilizofanya, kiuhalisia wanawake wanapenda wanaume weupe na smart, ila wengi wao hujificha kwa kusema wanapenda wanaume weusi, ni inferiority complex.
Usimwamini mwanamke anachokizungumza , huwa mara nyingi hamaanishi hivyo....
Ukiwauliza utaona kuwa Wengine wanahofia kuwa mwanaume mweupe anatazamwa na kila mtu, au wanahofia kuzidiwa uzuri/ muonekano