Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali


Haki yake kupita hapo..masaa ya mbeleee😀😀😀😀
 
Kama jambo hulijui usilisemee. Mauti yoyote ni ya kiroho. Usipofahamu masuala ya kiroho huwezi kuelewa.
 
Hawa huku mkuu👇
 
Siyo kila ajali ni zuembe au ujinga. Kuna wakati tutambue pia tunatumia vyombo vya moto vinaweza navyo pata changamoto na kusababisha ajali. Malori mengi mfumo wake wa uendeshaji yanatumia upepo. Inaweza tokea mpira wa upepo okapasuka je nayo itakuwa ni uzembe? au tairi pengine linapasuka na gari kusababisha ajali au hata pikipiki nayo utasema ni uzembe?
 
Mkuu hata sheria inatambua freak acts of nature! Wenye dini wanasema Act of God
 
Hili jamaa ni chenga

Limemeza vimisemo vya philosophy vimemfanya awe chiz fresh na hatambui hilo
 
Tatizo lako umesha kariri kwamba kama huamini kitu fulani basi hupaswi hata kukitumia kwa wengine.

Mimi kutoamini devils, Haimaanishi kwamba wengine hawaamini.

Kutumia devils kumwelezea mtu anaye amini devils kuna shida gani hapo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Nliwahi kukwambia uwahi hospital ukacheki afya ya akili

Ona sasa, kadri siku zinavyozidi kwenda unaharibikiwa zaidi

Ebu njoo nikuombee kwanza.
 
Mkuu hii hoja itamfanya hata hiyo Mungu unayemwamini anze kukufikiria mara mbili mbili .
Ukisoma vizuri maandiko haya utabaini NI Mungu na shetani ndio wanao husika na kuangamia kwetu % mfano

Wafalme 22:19-23.

Inasema:
20 Bwana akasema Nani atakayemshawishi Akabu ili apande(chombo cha Moto,farasi,gari la vita ,ungo anajua hajui ajali NI ajali tu) akaangamie huko Ramothi Gilead.(Najua kuliko na vita ila mtu hafi Kwa kupanda vita anakufa Kwa kupigwa vitani)

21 kisha Pepo mmoja akajitokeza akasimama mbele za Bwana akisema Mimi nitamshawishi.


SASA Kama unataka kutrash biblia unaweza lakini pay attention Kwa bold hapo juu Kama pepo linaweza simama mbele za Bwana na likafanya chochote wewe mmoja binadam NI Nani mpaka ujifanye kumpenda Mungu Ati kinafiki nafiki .alafu Mungu sio msafi kihivyo .soma isaya 34 itakusaidia .😸😸😸😸😸🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮💪💪
min -me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…