Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

Ogopa sana Mtu anayepinga hadharani kuwa "hakuna uchawi", nyuma ya pazia unawezakuta huyo ndiye Mchawi Mwandamizi mwenye vyeo vya juu sana kwenye ulimwengu wao wa giza.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wahadzabe hawana hizo imani za kichawi hivyo kwao kitu kikitokea hawahesabu kama ni uchawi .
 
Thibitisha kama hakuwa na maan.
Mbona hakusema toka mwanzo aje aseme leo baada ya kushikwa?
Kwamba akisema ndio uthibitisho wa Mungu na shetani kuwa wapo? Hii haitoi nafuu yoyote ya kwamba Mungu na shetani ni imani tu na hazina uthibitisho wowote.
 
Screenshot_20250413_192336.jpg
 
Wafrika Tunapenda kujishusha wenyewe alafu tunasingizia dini, Bara la asia limejawa na nchi zenye dini nyingi mno ila wao wanaendelea South Korea, Japan, China, India na nchi za waarabu zote ni za dini ila zimendelea, Norway na Sweden nahisi ndo nchi zenye Atheist wengi ila inazidiwa na nchi zenye dini. Ila utasikia ooh Afrika hatuendelei sababu ya dini
Afrika hatuendelei kwa sababu hatupati viongozi sahihi na hatuna mifumo mizuri ya kiserikali Wala sio dini kama wajinga wanavyoshupalia. Dini hata kwa wazungu zipo sana tu lakini wao Wana mifumo mizuri ya kiserikali ndio maana wanaendelea
 
Don't come to advertise your ignorance here.
Vumilia tu Mkuu, huwa napiga kwenye mishono bila ya kuangalia muhanga yukoje kiafya.

Ukileta hapa Uzi, jiandae kupokea mawazo tofauti sababu sisi si automatically robots ubonyeze displaying button sote tutekeleze unachoamini wewe.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Afrika hatuendelei kwa sababu hatupati viongozi sahihi na hatuna mifumo mizuri ya kiserikali Wala sio dini kama wajinga wanavyoshupalia. Dini hata kwa wazungu zipo sana tu lakini wao Wana mifumo mizuri ya kiserikali ndio maana wanaendelea
Hakika
 
Vumilia tu Mkuu, huwa napiga kwenye mishono bila ya kuangalia muhanga yukoje kiafya.
Kuna sehemu nimekwambia nimeumia?

Or you react with your emotions and feelings?
Ukileta hapa Uzi, jiandae kupokea mawazo tofauti sababu sisi si automatically robots ubonyeze displaying button sote tutekeleze unachoamini wewe.
Kuna sehemu umelazimishwa kuamini ninacho kwambia?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wahadzabe hawana hizo imani za kichawi hivyo kwao kitu kikitokea hawahesabu kama ni uchawi .
Ni mfano na si uchawi tu, hata mitaani unawezavimba mbele ya Me wenzio kuwa "Kiumbe Ke hakikubabaishi kabisa kivyovyote". Kumbe nyuma ya pazia unaburuzwa kama ndondocha ktk mahusiano yenu, nani wa kuthibitisha kuwa we ni mbabe wa Ke ilihali zaidi ya 90% ya ishu zenu huwa mnafanya faragha?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kuna sehemu nimekwambia nimeumia?

Or you react with your emotions and feelings?

Kuna sehemu umelazimishwa kuamini ninacho kwambia?
Kauli uandikazo zinatafsiri uhalisia wa jinsi ulivyo rohoni mwako kwa mimi niliyesoma chini ya mbuyu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom