Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

Umesema wewe Huwa unaamini statement ya Police, means pale Police wanaposema Jambo wewe ndiyo unaamini...!
Wapi nimesema hivyo?

Niliuliza hivi, 👇

Ulishawahi kusikia ajali imetokea polisi wakasema chanzo cha ajali hiyo ni Mungu, Shetani au uchawi?

Hivi unasoma na kuelewa kilichoandikwa au unakurupuka ku reply?
Nikakupa mfano wa matukio ambayo Police hutoa Statements, nikakuuliza unaamini hata Hilo....!?

Otherwise edit comment Yako, coz unataka sisi tuamini uko vizuri kichwani, then maneno Yako mwenyewe yanatuambia hufikilii sawasawa.
Wewe ndio husomi na kufikiria sawasawa.

Unakurupuka na mifano yako ambayo ni illogical.

Try to read and understand.
 
Sema we jamaa ni kigeugeu kinoma huyo devil hapa ni yupi?
Screenshot_20250404-085423~2.jpg
 
Sema we jamaa ni kigeugeu kinoma huyo devil hapa ni yupi?View attachment 3303107
Sometimes we have funny bro.

Japokuwa siamini kwenye uwepo wa devils, Lakini kuna wanao amini kwa hivyo kuwa encourage unatumia imani zao hizohizo kama mfano.

Hii ilikuwa kwenye ule uzi wa Fanton Mahal.

Nili mu alert jamaa akae awake.
 
sawa,
sasa hapo ulikua unazungumzia devil yupi? fafanua kidogo
 
Sema we jamaa ni kigeugeu kinoma huyo devil hapa ni yupi?View attachment 3303107
Tabia za kikike kike hizi, ndiyomaana Wahenga husema "ukiwa mwongo usiwe msahaulifu" sasa hili ndumilakuwili linang'ata huku linapuliza kama panya buku, sidhani kama dishi lake halijacheza.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom