Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

Tabia za kikike kike hizi, ndiyomaana Wahenga husema "ukiwa mwongo usiwe msahaulifu" sasa hili ndumilakuwili linang'ata huku linapuliza kama panya buku sidhani kama dishi lake halijacheza.
Panyabuku ni baba na Mama yako waliozaa punguani kama wewe.

Don't come to vomit your nonsense here.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Halfwit bastard.
 
Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie!

Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi ya kuovateki ndege 🛫. Watu kimyaaaa!! wala hawasemi chochote. Wanatulia kama mirungi inayowahishwa kiwandani au kama wagonjwa mahututi wanaokimbizwa ICU.

Halafu ajali ikishatokea ndio wanaanza sasa mara Mungu! Mara kafara! mara ushirikina! mara Shetani! Mara mwisho wa mwaka ajali zimekuwa nyingi!

Wanasahau kabisa kuhusu mwendokasi, speed kibati mwendo wa ngiri mkia juu, uzembe wa dereva, ulevi, ubovu wa barabara na kutozingatia sheria za barabarani.

Waafrika hasa watanzania wana kasumba ya kuamini na kuhusisha ajali hasa za barabarani na dhana za Mungu, Shetani, kafara au uchawi.

Utasikia wakisema kauli kama, "Tumemkosea nini Mungu hadi ajali zinakuwa nyingi?" Kana kwamba huyo Mungu ndio analeta ajali.

Utasikia tena, "Tuzidishe maombi na kusali sana kwani ajali zimeongezeka sana". Kana kwamba bila maombi na sala kwa huyo Mungu, ajali ndio zinaongezeka.

Utasikia, "Lile eneo kuna uchawi na ushirikina sana ndio maana ajali nyingi hutokea sana pale"

Utasikia tena, "Kafara zimekuwa nyingi sana mwaka huu ndio maana ajali zimekuwa nyingi sana"

Utasikia, " Mwisho wa mwaka huu, shetani anataka roho za watu ndio maana ajali zinatokea sana"

Misemo yote hii ni ya kijinga, iliyojaa ujinga, inayoaminika na watu wajinga.

Pia misemo yote hii ina logical fallacies. Post hoc ergo propter hoc na non-sequitur .

Hakuna Mungu anayehusika na ajali.

Hakuna Shetani anayehusika na ajali.

Hakuna uchawi au ushirikina kwenye ajali.

Hakuna ajali inayotokea kwa sababu ya utoaji kafara.

Ajali zote husababishwa kwa uzembe na ujinga wa kibinadamu unaotokana na wanadamu.

Learn or perish.

Think or Sink.

Understand or buzz off.

I'm out.

Saviour mentality

Huwa ukiipataga mwanya wa kuwaandika Waafrika vibaya, unaandika haswa. As a matter of fact, ndivyo ulivyo.

Tatizo moja ni kwamba yote unayo yaandikaga hayana ukweli wa moja kwa moja ni full assumptions and ovegeneralisation mfano umesema

"Waafrika hasa watanzania wana kasumba ya kuamini na kuhusisha ajali hasa za barabarani na dhana za Mungu, Shetani, kafara au uchawi"

hayo c o ya kweli, kwani hio kasumba ya kuamini na kuhusisha matukio ya ajali na dhana za mungu, imetoka kwa Wazungu. Wazungu ndio walioleta dini na kuwaaminisha Waafrika hivyo.

Kama ni chechote, labda kuhusisha ajali na bahati mbaya with ancestors underpinnings.

Your saviour mentality is abhorring
 
Nimekwambia hizo ni imani za watu.

Na uthibitisho wa kiimani upo kupitia vitabu vyao vya kidini.

Sasa usicho elewa ni kipi?
Screenshot_20250404-085423~2.jpg
 
kutokana na kauli yako unasema yupo sindio? tho at the same time hapa unasema hayupo huoni kama wewe ni kigeugeu😎
Ogopa sana Mtu anayepinga hadharani kuwa "hakuna uchawi", nyuma ya pazia unawezakuta huyo ndiye Mchawi Mwandamizi mwenye vyeo vya juu sana kwenye ulimwengu wa giza.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Tatizo lako umesha kariri kwamba kama huamini kitu fulani basi hupaswi hata kukitumia kwa wengine.

Mimi kutoamini devils, Haimaanishi kwamba wengine hawaamini.

Kutumia devils kumwelezea mtu anaye amini devils kuna shida gani hapo?
Tangu lini maji na mafuta yalichangamana, kwamba nuru na giza viambatane pamoja?

Si huwa unajisifu kuwa we ni Superior Atheist, imekuwaje tena kutumia mifano ya Watu unaowapinga kiimani?
Ninyi ndiyo mnaochelewesha bangi zisipitishwe kisheria huku Afrika ilihali nchi zingine ni halali na dawa nzuri tu kiafya.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Kwa hiyo Police wanaposema "Risasi ilipigwa juu ili kuwarisha Watu, bahati mbaya ikawajeruhi watu 3 na kupelekea Vifo vyao..."

Kwa hiyo Kwa Akili Yako Utawaamini/Unawaamini Police...!?
Napata shida na uwezo wako wa kufikiri.
RISASI HUWA INAKATA KONA
 
Tangu lini maji na mafuta yalichangamana, kwamba nuru na giza viambatane pamoja?

Si huwa unajisifu kuwa we ni Superior Atheist, imekuwaje tena kutumia mifano ya Watu unaowapinga kiimani?
Kwa hiyo ukiwa Atheist ndio hupaswi kutumia concept zozote zile za Theists?
Ninyi ndiyo mnaochelewesha bangi zisipitishwe kisheria huku Afrika ilihali nchi zingine ni halali na dawa nzuri tu kiafya.
You have failed to address the thread, you introduce your irrelevant topic to distract the thread.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom