The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kila tukiiambia Serikali Kuhusu hii Barabara lakini haielewi..Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
Wajinga wajinga hao, kero ya askari kujazana barabarani wala haiwezi kuthibitiwa kwa kusingizia ajali. Mtu umekamilika ila bado unaombwa ombwa hela kwa visingizio vya makosa ambayo sio halisi.nina 100% watu wote wanaomkejeli kinana kwenye hii thread hawana magari ila kwa mwenye kumiliki gari hawez ongea utumbo huo abadani
Ni Barbara ya kutokea uyole kwenda wapi?Haha !!
ukaguzi wa mara kwa mara ? Pia haisaidii, pananguka mqgari mapya kabisa hapo ,
Kuanzia uyole hadi unafika igawa ni kipande cha kuomba mungu tu , barabara ni finyu na sio rafiki.
Gari bovu ni hatari sana , lakini barabara mbovu ni hatari zaidi
Ajali zilikuwepo tangu zamani sema zilikuwa hazitangazwi tu....alisikika mkereketwa mmoja akisema.Hizi ajali zitatumaliza jamani!
Zilikuwepo kwa uchache sna,sema na magari nayo yameongezeka sana nacwatumiaji pia na technologia ya kupashana habari iko juu.Ajali zilikuwepo tangu zamani sema zilikuwa hazitangazwi tu....alisikika mkereketwa mmoja akisema.
Lini traffic walisaidia kuzuia ajali?
Hopeless kabisa wakati nyie ndo mlisababisha ajali ziwe nyingi kwa kuruhusu magari chakacu yaingie barabarani baada ya kuomba buku mbili ya rushwa.
Ni Igawa au Igawilo?Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
---
Watu nane wamefariki Dunia na wengine ambao idadi yao haijafahamika wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Jumanne, Agosti 16 katika eneo ya Shamwengo karibu na kituo cha mafuta Inyala mkoani Mbeya.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo, akieleza kuwa gari la kKampuni ya Evarest Frech Ltd likiwa na kontena la mchanga lilifeli breki na kuligonga basi la Super Rojas lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Njombe.
“Waliopoteza maisha ni nane japokuwa bado idadi rasmi haijajulikana ila baadaye taarifa ya daktari itaeleza kwa ujumla, ila majeruhi wamesambazwa kwenye hospitali tofauti ikiwamo Igawilo na Mkoa,” amesema Kamanda Matei.
Eneo hili la Inyala kila siku hutokea ajali ya lori, hauwezi kupita bila kukuta lori limeanguka.Ajali mbaya imetokea katika eneo la Inyala mkoani Mbeya baada ya lori la mafuta kufeli breki na kugonga basi la abiria na gari ndogo na kusababisha vifo vya watu kadhaa na majeruhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.
---
Watu nane wamefariki Dunia na wengine ambao idadi yao haijafahamika wakijeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea leo Jumanne, Agosti 16 katika eneo ya Shamwengo karibu na kituo cha mafuta Inyala mkoani Mbeya.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya, Urlich Matei amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo, akieleza kuwa gari la kKampuni ya Evarest Frech Ltd likiwa na kontena la mchanga lilifeli breki na kuligonga basi la Super Rojas lililokuwa likitoka Mbeya kwenda Njombe.
“Waliopoteza maisha ni nane japokuwa bado idadi rasmi haijajulikana ila baadaye taarifa ya daktari itaeleza kwa ujumla, ila majeruhi wamesambazwa kwenye hospitali tofauti ikiwamo Igawilo na Mkoa,” amesema Kamanda Matei.
Hizo truck arrester wamejaribu kuweka pale mlima kolo kondoa , ila hazijawekewa maelezo na madereva wengi hawajui matumizi yake.Ndio maana mkuu barabara zetu ndio tatizo kubwa, mengine ni mengineyo, mimi ningekua waziri wa mawasiliano hizi pass zote ndani ya T1 ningefanya yafuatayo:kabla hujaanza kushuka kitonga pass ningejenga compossory stop kwa magari yote above 10T,yaani ukifika pale lazima usimame, hii itasaidia to slow down momentum ya vehicles hizi, hivyo hivyo kwa Inyala Pass;,pia ningejenga arrester ili kudeal na magari yaliyo fail breaks, Zambia wanazo hasa kuelekea border ya Chilundu, yaani ukipata break failure unalielekeza gari upande wa arrester (imetengenezwa zaidi kwa mchanga na kokoto);
Sio swala la mabalaa , ni mipangilio tu, mbeya ni mkoa wenye boarder mbili busy , ni mkoa ambao unahitaji sana maboresho ya boarder roads ikiwezekano kuwe na dual carriage kuanzia igawa kwenda kasumulu na TundumaMkoa wa mbeya unabalaa gani?!
watu wa mbeya ongezeni maombi, punguzeni ushirikina.
Tunahitaji design Bora za barabara ni si wingi WA polisi wapenda rushwa, any way ajali zipo TU, Cha Muhimu kuomba MunguInyala pipeline panahitaji dual carriage ways. Trafiki wa kinana watasema na hii wangeweza kuzuia kama wangalikuwepo barabarani.
Uko karne gani wewe bado unahhusisha ushirikina mkuu,ajali ni ajali huo ushirikina una msimu !!?Lete data.Tatizo la Mkoa wa Mbeya ni ushirikina. Ajali nyingi zinazotokea Mbeya zinasababishwa na "ushirikina".