Ajali mbaya Inyala Mkoani Mbeya, idadi ya waliofariki yafikia watu 19

Hizi ajali zitatumaliza jamani!
Ushirikina wa huo Ukanda hasa hasa kwa Makabila ya Mikoa ya Mbeya, Iringa na hata kule Rukwa wa kutoana Makafara ili Biashara zao ziende umevuka mipaka na hauvumiliki tena.
 
Mbona spika wa bunge ni wa kwenu kutoka Mbeya?

Yeye ndio rubber stamp wa kupitisha bajeti za serikali.
 
Ukisikiliza ajari zinazosababishwa na maroli Tanzania waweza kuamini dunia nzima hakuna maroli yapo Tanzania tu au Tanzania ndio inaongoza kwa maroli mengi kumbe tatizo ni barabara tu.

Haya na pale ukitoka tu Mbeya mjini kuelekea Tunduma ule mteremko mkali unajaza foleni ndefu, hivi mpaka wazungu ndio waje watuambie hapa panahitaji barabara sita?
 

Yawekwe pembeni, malori yote mabovu:
 
Wabunge wanafanya kazi gan huko mbeya?
 
Trafiki wenvgi kwa sasa wapo kwenye kipindi cha mpito kuombea mabalaa yatokee kwa wingi barabarani ili waseme yanatokea kwa sababu wao hawapo .
Ni kweli hata wakijazwa wengi wanachokifanya ni kukusanya Rushwa.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…