TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Tangu lini trafiki akadili na gari la DED.
Mbona wamerudi kwa kasi ya 5G, ile ukisimama tu wanakuangalia usoni moja kwa moja, kiashiria kwamba toa hela utembeee, usipotoa unasikia tunataka kukufikisha mahakamani unasemaje?? Sijui wanajua watanzania wanaiogopa mahakama ama
 
Yaani maisha ni yako na unajua kabisa madhara ya kuendesha gari kwa mwendokasi, kisha unataka mpaka watu wengine (Askari wa barabarani) ndio wakuelekeze umuhimu wa kujali maisha yako? Hivi sisi watu weusi lini tutafikia hatua ya kuwa binadamu kamili?
Achana nae huyo ni mtu mbumbumbu...
 
Kuna umuhimu wa kupanua barabara kwa haraka eneo hilo. Hii ni too much sasa

Pole kwa wahanga
 
Madereva wa magari ya Umma wanaendesha kwa fujo mno. Wanatumia speed kubwa na ku overtake kila mahali , kiukweli wanakera mno. Na kwa bahati mbaya inapotokea ajali huwa tunashindwa kuweka wazi hasa pale ambapo chanzo cha Ajali ni Madereva wa Serekali.
 
Tatizo la Tz

Miundombinu mibovu
Miundombinu finyu

Warekebishe barabara tuone
 
Una uhakika na unachokiandika?
Ni nchi Gani hiyo itaje
 
Leo naona wamewakomalia wazee wa kitengo kupita kwenye mwendokasi kumbe kimeumana huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…