TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Tangu lini trafiki akadili na gari la DED.
Mbona wamerudi kwa kasi ya 5G, ile ukisimama tu wanakuangalia usoni moja kwa moja, kiashiria kwamba toa hela utembeee, usipotoa unasikia tunataka kukufikisha mahakamani unasemaje?? Sijui wanajua watanzania wanaiogopa mahakama ama
 
Yaani maisha ni yako na unajua kabisa madhara ya kuendesha gari kwa mwendokasi, kisha unataka mpaka watu wengine (Askari wa barabarani) ndio wakuelekeze umuhimu wa kujali maisha yako? Hivi sisi watu weusi lini tutafikia hatua ya kuwa binadamu kamili?
Achana nae huyo ni mtu mbumbumbu...
 
Kuna umuhimu wa kupanua barabara kwa haraka eneo hilo. Hii ni too much sasa

Pole kwa wahanga
 
Madereva wa magari ya Umma wanaendesha kwa fujo mno. Wanatumia speed kubwa na ku overtake kila mahali , kiukweli wanakera mno. Na kwa bahati mbaya inapotokea ajali huwa tunashindwa kuweka wazi hasa pale ambapo chanzo cha Ajali ni Madereva wa Serekali.
 
Tatizo la Tz

Miundombinu mibovu
Miundombinu finyu

Warekebishe barabara tuone
 
Maisha ya kubahatisha hasahasa kufariki kutokana na ajali utayasikia zaidi nchi maskini tu ambako ajali zinaripotiwa karibu kila week. Ila nchi zilizoendelea, vifo vya ajali unaweza kuvisikia mara moja kwa kila mwaka au pengine kila baada ya miaka 2 kabisa..
Una uhakika na unachokiandika?
Ni nchi Gani hiyo itaje
 
Haya mambo utayakuta nchi maskini tu. Ila nchi zilizoendelea hata Polisi wanafuata na kuheshimu sheria zote za barabarani isipokuwa kama wapo kwenye operation maalumu ama jambo la dharura ndo huwa wanawasha ving'ora na magari mengine yanapisha. Ila Bongo dereva wa gari la Polisi hata kama anaenda kupaki gari utaona anatanua barabarani na fujo nyingi. Mara wapite kwenye njia za mabasi ya mwendokasi. Yaani kiufupi sisi nchi maskini bado tupo kwenye transition kutoka kwenye ubinadamu nusu kwenda kwenye ubinadamu kamili. Bado sana sisi.
Leo naona wamewakomalia wazee wa kitengo kupita kwenye mwendokasi kumbe kimeumana huko.
 
Back
Top Bottom