Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Sahihi kabisa, waswahili wakiona gari tinted tu kwao ni V8 hata kama ni Landover discovery au PajeroHio pichani ni Land Cruiser Prado, sio V8 kama ilivyoripotiwa na mtoa mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa, waswahili wakiona gari tinted tu kwao ni V8 hata kama ni Landover discovery au PajeroHio pichani ni Land Cruiser Prado, sio V8 kama ilivyoripotiwa na mtoa mada
Na wakati unashuka miteremko mirefu usikae karibu na lori lililosheheni tembea mbali kidogo mara kwa mara likifeli breki wewe ndio kigingi.Madereva wa mchongo, sio kila gari ya kukimbiza
Umewahi kumkuta traffic ana mpiga fine dereva wa gari ya serikali? Au wewe ni trafic umekosa hela ya kibati?Trafiki warudishwe barabarani. Hali inatisha.
Nimecheka hapo kibaha mpuuzi mmoja alihisi mie kigingi chake kaja kaitandika gari kwa jumaa paaaNa wakati unashuka miteremko mirefu usikae karibu na lori lililosheheni tembea mbali kidogo mara kwa mara likifeli breki wewe ndio kigingi.
Tangu lini trafiki akadili na gari la DED.Trafiki warudishwe barabarani. Hali inatisha.
Sio pekeyako, ndio maana wa private wengi hupenda kuchomoka saa 10 au 11 kabla hao jamaa hawajaingia barabaraniHakuna magari naogopa kuongozana nayo niwapo safarini na private kama malori na mabasi!
Mbona wamerudi kwa kasi ya 5G, ile ukisimama tu wanakuangalia usoni moja kwa moja, kiashiria kwamba toa hela utembeee, usipotoa unasikia tunataka kukufikisha mahakamani unasemaje?? Sijui wanajua watanzania wanaiogopa mahakama amaTangu lini trafiki akadili na gari la DED.
Achana nae huyo ni mtu mbumbumbu...Yaani maisha ni yako na unajua kabisa madhara ya kuendesha gari kwa mwendokasi, kisha unataka mpaka watu wengine (Askari wa barabarani) ndio wakuelekeze umuhimu wa kujali maisha yako? Hivi sisi watu weusi lini tutafikia hatua ya kuwa binadamu kamili?
Af gari zao huwa ni first hand asee,Daaah gari imeisha kabisa sijui ni speedingView attachment 2356856
Aisee!!View attachment 2357016dereva wa gari.. wote wapumzike kwa amani
Pepo la ajali na nchi yetu, kuna nini?
Una uhakika na unachokiandika?Maisha ya kubahatisha hasahasa kufariki kutokana na ajali utayasikia zaidi nchi maskini tu ambako ajali zinaripotiwa karibu kila week. Ila nchi zilizoendelea, vifo vya ajali unaweza kuvisikia mara moja kwa kila mwaka au pengine kila baada ya miaka 2 kabisa..
Leo naona wamewakomalia wazee wa kitengo kupita kwenye mwendokasi kumbe kimeumana huko.Haya mambo utayakuta nchi maskini tu. Ila nchi zilizoendelea hata Polisi wanafuata na kuheshimu sheria zote za barabarani isipokuwa kama wapo kwenye operation maalumu ama jambo la dharura ndo huwa wanawasha ving'ora na magari mengine yanapisha. Ila Bongo dereva wa gari la Polisi hata kama anaenda kupaki gari utaona anatanua barabarani na fujo nyingi. Mara wapite kwenye njia za mabasi ya mwendokasi. Yaani kiufupi sisi nchi maskini bado tupo kwenye transition kutoka kwenye ubinadamu nusu kwenda kwenye ubinadamu kamili. Bado sana sisi.
50 haziwahusu hao. RIP dada.Daaah gari imeisha kabisa sijui ni speedingView attachment 2356856