TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

TANZIA Ajali Mbeya: Watu wanne akiwemo Mkurugenzi wa Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora wamefariki dunia

Nilipita siku si nyingi..ukifika salama uendako kwa barabara za Tanzani ni kumshukuru Mungu.
 
Mimi siyo trafiki ila sitaki kuona watu wanapukutika barabarani.
wewe ni trafic uchwara au unanufaika na tozo toka kwa madereva barabarani.
Hapo mteremko wa Inyela Mbeya Makamu wa Rais juzi tu kasema wawekwe Traffic ili kuruhusu magari kwa zamu.
Traffic akatoa malori yapite, kumbe kuna gari za heshima ikapenya iwahi safari ikakutana na lorry.
Fuatilia vyombo vya habari
 
DED wa Igunga anatafuta nn Mbeya?
Huwa inatokea ameaga anakwenda Dar halafu anachepuka juu kwa juu kwenda kwenye mishe zake, hii ilitokea kwa REO mmoja mwaka huu alichomoa gari bila RAS kujua, kufika Mikumi usiku ajali mbaya
 
Back
Top Bottom