Kweli kabisa umenena mkuuUzembe kwa kiasi kikubwa unaweza ukadhibitiwa na abiria.. Kwa mfano overtaking kwenye eneo la hatar, michezo ya madereva, mwendokasi, hivi vyote hakuna askari wala mfanyakazi wa sumatra wala mtu wa mamlaka nyingine yeyote ile anaweza kuviona ila ni abiria.. Abiria tupo kimya na tunafumbia macho haya mambo.. Binafsi nawalaumu sana abiria.. Je watu ambao walishawah kuona michezo kama hiyo ya kubadilishana njia walishawahi kutoa taarifa..? Mpaka gar inapigwa tochi speed 122 je humo ndan hakuna abiria??? Ni upuuz wa sisi wasafir ukijumlisha na dereva... Sio suala la kublame serikali.. Serikali itahusika pale tu patakapokua na ubovu wa miundombinu kwa mfano mashimo barabarani.. Huo ndo mtazamo wangu
"Msiba usikie kwa jirani" co JILANI
Tunachukua hatua ganTunaosafiri kila siku kwenye haya mabasi tunaona mengi! Spidi inayokanyagwa baada ya tochi ni shida,dereva saa kumi yupo macho anakaa kwenye uskani kuanzia Mwanza hadi Dar what next? Unakuta gari chakavu kabisaa hadi nyuzi za matairi zinaonekana gari hiyohiyo inapita kwa matrafki,mizani n.k asee! Mambo ni mengi unaweza jaza lambat!
Hatar sanaNakushukuru sana kwa mchango wako mzuri na kwa maono hayo. Madhara ya RUSHWA NA UZEMBE KWA WANANCHI NA VIONGOZI WOTE YATALITAFUNA TAIFA HILI KWA KIWANGO KIKUBWA SANA HASA WAKATI HUU AMBAO HUWEZI KUKOSOA. NAHISI KAMA BADO SANA HATUJA-EXPERIENCE HAYO MADHARA KWA KIWANGO KIKUBWA, NAAMINI YATAKUJA MAKUBWA SANA KULIKO HAYO TUNAYOYAONA LEO.
Kuna Yule aliyekuwa anaendesha Shabiby sijui bado yupo! Ni wazo jema Ila Mimi naona ratiba ziwe tight tukuna basi linaitwa ndenjela la dar - mbeya dereva mwanamke.. linasafiri mwendo mzuri sana...
mimi nasapot hoja
Mkuu basi speed inayoruhusiwa ni mwisho 80/kwa saa,sasa hiyo 120?Tatizo ni Mamlaka wangeruhusu angalau gari litembee mwisho speed 120 halafu utengenezwe mfumo wa ku punch kadi kila baada ya vituo lakini hivi sasa wanakagua asubuhi tuu shughuli mchana hivyo ajali hazichangiwi na madereva zinachangiwa na MUDA
Hahahaaaa! Naona "Conductor" unatetea kibarua kwa jazba.Hivi nchi nyingine ajari hazipo?. Hivi watu tanzania wanakufa kwa ajar za magar tuu? Ndo uzembe ulipo tuu,nenda viwandani uone watu wanavyopata ajari...kukatika mikono,miguu;viwanda vya nondo na nabati...nenda viwanda vya cement (silence killer)mahospitalini;wanaokufa kwa kutoa mimba.nk...mbona ndege zinapata ajar..pikikipik. nadhani tatizo la training na nidhamu tu kwa wakufunzi...
Hahah, umenichekesha.Kwa wanawake wanavyopenda kusifiwa sidhani kama hili ni suluhisho kwani wengi wao hawatakubali kupitwa na wanawake wenzao hovyo hovyo barabarani.
Mimi naona sheria zitiliwe mkazo na adhabu kali zitolewe kwa makampuni na madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani!