Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Kama hiyo ajali ni ile nliyoshuhudia na kama ni yeye alifariki katika hiyo ajali, hakuna ambaye angeweza kumtambua mda ule hata baada ya 24 hours.

Ajali ilikuwa ni mbaya sana tulishindwa kulitambua gari lenyewe .!
Alikuwa anawahi kwenda motoni!!!!
 
Wataanza kutuletea Yale yale ya majaliwa na ile ndege. Hapa mtu amekufa amekufa apumzike kwa amani
 
Ongezea nyama mkuu.
Ajali ilikuwaje? Gari ilipinduka? Iligongana?
Gari yake iligongana uso kwa uso na Lory kutoka kampuni ya Mahit sijui ( sikumbuki jina vizuri ) ilikua inatokea Tanga, ile impact ilifanya gari yake ilipuke hapo hapo, Lory ilidondoka na cabin yote iliungua Moto

Aliyekua kwa gari ndogo ndio aliingia upande wa Lory, kuna uwezekano dereva alisinzia au labda alikua kalewa, kwa ile impact yaan hata kama isingeungua bado asingepona
 
Duh.

Kwani alikuwa nchini tangu lini!!?
 
Au ilikuwa suicide.... Just thinking kama mada ina ukweli.
 
Nimefanya kazi na Balozi Mushi, ni msela flan hivi na mtu anayejiamini sana, kuendesha gari mwenyewe ni kitu anachoweza kufanya, lakini kwanini Usiku? Kwanini Crown?

Something fishy!
Kuendesha gari long trip inaitaji uzowefu jamani, usione unajua kuendesha gari Mjini ukajiona pia unaweza kuendesha Long trip!!
 
Hii ndiyo JF, data lazima zimwagike

Kumbe aligongana na lorry la wese

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…