Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Ajali ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Austria ichunguzwe

Halafu kitu sijaelewa kwanini mwili wa marehemu ufatwe na ndugu kutoka Dar, kwenda kuuchukua handeni,

si kwamba serikali ilitakiwa kufanya utaratibu wa mtumishi wao? Wamemkataa jamaa yao.
Mtu mfu amekufa. Serikali haina mpango na wafu ujue..hawalipi kodi
 
Yeye kama balozi lakin pia ana ABC za ujasusi. Ilitakiwa ajue consequences ya kila anachokifanya. He knows the game how it goes down
 
Mkuu gari ile ilivyopata ajali hatukuweza kujua bu gari gani, kwa moto ule na usiku ule

Hata ndani hatukuweza kujua kulikua na watu wangapi, kwa kifupi nin kuwa ajali ilikua mbaya, ule mwili kama sio ndugu kumtafuta hakuna mtu angejua ni nani
ndio mashaka yanapokuja hapo, imetengenezwa hiyo ajali
 
..imeshajulikana kwamba ilikuwa ni AJALI ya gari ndogo na lori kugongana.
kuna mdau ana mawazo haya[emoji116][emoji116][emoji116]mimi nakubaliana na hoja yake
IMG_20221216_192241.jpg
 
Back
Top Bottom