Ajali ya bus la Wabunge: 98% ya wananchi waliotoa maoni yao mitandaoni waliombea wafe wote...!

Na mm nasema hv kama vp ile ajali iludiwe haiwezekani ikatoka patupu
 
Imeandikwa,.....

"Kwa maana kwangu mimi, kuishi ni Kristo, kufa ni faida".

Wafilipi 1:21


so,
my friends ladies and gentlemen,
kila nafasi itaonja umauti na kamwe kifo hakizoeleki.

Ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila Jambo, na muhimu zaidi tupendane na kuombeana kama taifa 🐒
 
Hao wenyewe waliopata ajali hiyo wala hawajawahi kuwajali wananchi na janga walilolipata, wao wanawafanyia wananchi zaidi ya hilo...

Maana wao wanateka, wanatesa na kuua kwa mikono yao na kwa makusudi kabisa...

Katika mazingira haya ya chuki na visasi ambayo yametengenezwa na kumwagiliwa maji ili yamee vyema na hawahawa tunaowaita "viongozi" unategemea wao walipwe kwa wema gani dhidi ya ubaya walioupanda wenyewe..?
 
Usidanganyike na usidanganye wengine....!

Si kila nafsi itakufa au kuonja mauti...

Waovu na wasioamini peke yao ndio watakaoonja mauti/watakaokufa milele...

Wenye haki wajapokufa kimwili, wataishi...

Yohana 11:25-26 SUV
"....Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo...?"

Wezi wa kura, uchaguzi na haki ya wananchi ya kuchagua viongozi wao kupitia sanduku la kura ambao viongozi wa serikali chini ya CCM na chawa wao kama wewe Tlaatlaah ndio wataonja mauti/watakufa....

Wenye haki wote tuko salama...
 
Wanadhani wanapambana na CHADEMA kumbe wanapambana na wananchi wenye nchi yao
Walivyo wajinga watasema, hao ni CHADEMA tu ndio wanawatakia viongozi vifo...

Watu wa dizaini huwa hawawezi kutumia fursa kama hizi kujitazama kwenye kioo na kisha kujirekebisha...

Wakati wote wanakuwa wanatafuta watu wa kuwarushia uchafu, uovu na udhaifu wao.....
 
kuishi ni Kristo, kufa ni faida,
maana yake,

ukiwa na Kristo ndani yako hutakufa kamwe, na hata ukifa ukiwa ndani ya huyo Kristo, bado utapata faida tu kwasabb utakua nae kiroho huko katika paradiso ya milele mkila bata na watakatifu wengine...

sasa hii kumbwelambwela hapa ati bora wakina nani siju wangekufa ni imani potofu za kishirikina ambazo ni useless na completely nonsense kwa wanaomtumainia Mungu 🐒
 
CCM inachukiwa kwa nguvu zote na hayo ndio natokeo ya kura kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki.
 
We huoni wanaiba kura au unaishi Rwanda hapo? Ambapo uchaguzi Huwa wa haki na usawa?
 
Ukipiga hesabu hapo
Jumla ya waliowatakia mabaya= 506+77+151+68
Jumla ya watanzania mil 60
Tafuta aslimia utajigundua ww ujielewi
 
Kuna angalizo la kiroho wamejaribu kupewa ni juu yao kulitii ama kulipuuzia
 
Relax kiongozi! Hao ni nyumbu wa mbowe, wanasubiri tukio lolote baya kwa serikali Kisha wanatoka mbio (wengine kwa kuwezeshwa na mabwana zao) wanapanga foleni ktk mitandao yote na kutoa hizo comments zao ovu. Sehemu zote hizo ni watu walewale; nyumbu wa mbowe. Hata wasikuumize kichwa kwani hawani akili na ni wachache tu.....wananchi Huku mtaani wapo na mama Samia Hadi 2030
 
Mkuu call a spade a spade!!

Comments zinaonesha si za upinzani bali ni za raia wa kawaida kabisa, inaonesha waheshimiwa wanachukiwa sana uraiani na huo ni ukweli mchungu, kama mmoja anataka ajali irudiwe wafe wote na wengi wanamlaumu dereva kushindwa kupindua gari na kuwaua wote.

Hili la raia kuwachukia ni somo kubwa kwa waheshimiwa kuwaza kurudi kwenye mstari na kuwatumikia wapiga kura wao vile wanataka japokuwa sababu za chuki uraiani zaweza kuwa ni hali ngumu, ukosefu wa ajira, utekaji, uchaguzi kuporwa nk na wala hazihusiani na kazi za waheshimiwa mjengoni, yaani kiufupi raia wanachukia viongozi bila kujali nafasi zao na wanawatakia mabaya hasa mauti yawakute!! Hii ina maana kiongozi yoyote akifa ni sherehe uraiani, this is so sad.

Comments zinaonesha labda kuna mahali mjengoni panavuja au labda uongozi kwa jumla raia hawaupendi.
 
Ukipiga hesabu hapo
Jumla ya waliowatakia mabaya= 506+77+151+68
Jumla ya watanzania mil 60
Tafuta aslimia utajigundua ww ujielewi
Una kiburi cha ujinga kichwani mwako....

Kwenye kufanya polls kwa kutumia sampling method huwezi kupata maoni kwa kuuliza kila Mtanzania ktk wote Mil 64...

Hii japo si utafiti/poll rasmi, lakini inatosha kuwasha taa nyekundu kwa kila kiongozi ambaye ana great positive awareness ya maswala ktk jamii...

Lakini kama viongozi wetu ni wajinga na wenye kudharau mambo kama wewe, wasiopenda ku - take issues serious kama hii, basi ipo siku isiyo na jina mabaya yatawakuta wakiwa wakinywa na kula tu kwa raha zao...

Why? It's because they were stupid and ignorant to see the alert of danger which showed onto their face which could've helped them to promptly take action to rectify the situation...

Yes, we are almost 64 milioni. Lakini kama within few hours kwa waliobahatika kutumia mitandao tena main stream kama TBC Online 98% wanawatakia viongozi wao vifo, basi ni kiongozi mwendawazimu pekee anayeweza kupuuza na kudharau...!!
 
Hawa takataka wawe vichaa watembee uchi mitaani na kuokota makombo majalalani
Takataka kabisa hawa
Hatuna wabunge bali tuna Lundo la takataka na uchafu kwenye jengo la bunge
 
Walikataa mjadala wa wanachinkutekwa na kuuawa bungeni

Karma ipo siku itajibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…