Hata mm imenharbia siku kabisaaa, nahis tumbo linakata maumivu nlo nayo basi tuDah siku yangu Leo imekuwa ngumu sana kwa taarifa hii, kwakweli nilikuwa na miaka mingi sana sijalia hili limeniliza na bado nalia nalia sana,kwakweli inauma inauma japo watoto si wangu ila moyo nahisi unapasuka,
It's happened already, can't forbid. Only that let's unite 'n pray for them.God forbid!
Hiyo shule iko wapi arusha,mimi wa kwangu nlikataa asiende bagamoyo juzi hizi mvua ni kubwa istoshe hayo macoaster wanakodisha tu madreva nao hawaangali mwendoIsikie kwa mwenzio miss chagga .mtoto wangu anasoma hapo na asubuh ameenda tuition lakin waliokufa ni marafiki zake nahis ataathirika sana sijui nitamsaidiaje
Nimesema hakuna chombo cha habari kilicholipa hili jambo uzito sio kwamba hawajaripoti, jaribu kuelewa kabla ya kukurupuka.. JF haiwezi kufika kwa watu wengi kama radio na TV
Anyways hakuna haja ya kubishana mkuu, tuko msibani. [HASHTAG]#Pamoja[/HASHTAG]
Msibani huwa tunapiga story pia mkuu hivyo usitie shaka. Labda ungefafanua uzito ungetolewa vipi wakati TV haziruhusiwi kuonyesha picha za majeruhi na marehemu. Pia kamanda wa polisi ameshaviambia taarifa rasmi ni mpaka atakapofika eneo la tukio. Kwa hiyo vinasubiri. Au vingeanza kupiga nyimbo za maombolezo?
Ipo kwa moromboHiyo shule iko wapi arusha,mimi wa kwangu nlikataa asiende bagamoyo juzi hizi mvua ni kubwa istoshe hayo macoaster wanakodisha tu madreva nao hawaangali mwendo
Nilitoka dar j5 nadrive njia nzima ni mvua nikamwambia mama yke hakuna kwenda
Kama ni class mates wake hiyo hali inaweza kumsumbua kisaikolojia...itategemea lakini unaweza muhamishia shule nyingine kama utaona ameathirika ...so sad indeed !Isikie kwa mwenzio miss chagga .mtoto wangu anasoma hapo na asubuh ameenda tuition lakin waliokufa ni marafiki zake nahis ataathirika sana sijui nitamsaidiaje
Shule ipo arsh njia ya kuelekea kwa mrombo.Hiyo shule iko wapi arusha,mimi wa kwangu nlikataa asiende bagamoyo juzi hizi mvua ni kubwa istoshe hayo macoaster wanakodisha tu madreva nao hawaangali mwendo
Nilitoka dar j5 nadrive njia nzima ni mvua nikamwambia mama yke hakuna kwenda