Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Dah siku yangu Leo imekuwa ngumu sana kwa taarifa hii, kwakweli nilikuwa na miaka mingi sana sijalia hili limeniliza na bado nalia nalia sana,kwakweli inauma inauma japo watoto si wangu ila moyo nahisi unapasuka,
Hata mm imenharbia siku kabisaaa, nahis tumbo linakata maumivu nlo nayo basi tu
 
Isikie kwa mwenzio miss chagga .mtoto wangu anasoma hapo na asubuh ameenda tuition lakin waliokufa ni marafiki zake nahis ataathirika sana sijui nitamsaidiaje
Hiyo shule iko wapi arusha,mimi wa kwangu nlikataa asiende bagamoyo juzi hizi mvua ni kubwa istoshe hayo macoaster wanakodisha tu madreva nao hawaangali mwendo
Nilitoka dar j5 nadrive njia nzima ni mvua nikamwambia mama yke hakuna kwenda
 
Nimesema hakuna chombo cha habari kilicholipa hili jambo uzito sio kwamba hawajaripoti, jaribu kuelewa kabla ya kukurupuka.. JF haiwezi kufika kwa watu wengi kama radio na TV

Anyways hakuna haja ya kubishana mkuu, tuko msibani. [HASHTAG]#Pamoja[/HASHTAG]

Msibani huwa tunapiga story pia mkuu hivyo usitie shaka. Labda ungefafanua uzito ungetolewa vipi wakati TV haziruhusiwi kuonyesha picha za majeruhi na marehemu. Pia kamanda wa polisi ameshaviambia taarifa rasmi ni mpaka atakapofika eneo la tukio. Kwa hiyo vinasubiri. Au vingeanza kupiga nyimbo za maombolezo?
 
Kwa ajali hii serikali iangalie umuhimu wa kuzikarabati vizuri barabara za aina hii iweke hata kingo imara pembeni. iachane na masuala ya ununuzi wa ndege wakati raia wengi matumizi yao makubwa ni barabara.
 
Msibani huwa tunapiga story pia mkuu hivyo usitie shaka. Labda ungefafanua uzito ungetolewa vipi wakati TV haziruhusiwi kuonyesha picha za majeruhi na marehemu. Pia kamanda wa polisi ameshaviambia taarifa rasmi ni mpaka atakapofika eneo la tukio. Kwa hiyo vinasubiri. Au vingeanza kupiga nyimbo za maombolezo?

Hapa nlipo, nna steshen kama kumi hivi za radio zote za tanzania, na hakuna steshen hata moja ya redio mpaka sasa iliyotangaza hili. ndo maana nikasema hivyo .
 
Tuwaombee watoto wetu. Walikuwa katika harakati za kutafuta maarifa ya kuiendeleza Tanzania baade. Poleni wazazi, ndugu na marafiki
 
Uwiiii .Mungu wangu sijui hata nisemeje jaman watoto . Polen sana wazazi Mungu azilaze roho za watoto mahali pema pepon.
 
R.I.P Mungu aziweke roho zao mahali pema peponi.Njia yetu sote ila hatujui tuliobaki tutaondokaje.Mungu watie Nguvu familia zao katika kipindi hiki kigumu wanchopitia.Amen
 
Hiyo shule iko wapi arusha,mimi wa kwangu nlikataa asiende bagamoyo juzi hizi mvua ni kubwa istoshe hayo macoaster wanakodisha tu madreva nao hawaangali mwendo
Nilitoka dar j5 nadrive njia nzima ni mvua nikamwambia mama yke hakuna kwenda
Ipo kwa morombo
 
Isikie kwa mwenzio miss chagga .mtoto wangu anasoma hapo na asubuh ameenda tuition lakin waliokufa ni marafiki zake nahis ataathirika sana sijui nitamsaidiaje
Kama ni class mates wake hiyo hali inaweza kumsumbua kisaikolojia...itategemea lakini unaweza muhamishia shule nyingine kama utaona ameathirika ...so sad indeed !
 
Hiyo shule iko wapi arusha,mimi wa kwangu nlikataa asiende bagamoyo juzi hizi mvua ni kubwa istoshe hayo macoaster wanakodisha tu madreva nao hawaangali mwendo
Nilitoka dar j5 nadrive njia nzima ni mvua nikamwambia mama yke hakuna kwenda
Shule ipo arsh njia ya kuelekea kwa mrombo.
 
Inasikitisha sana mwenyezi mungu awalaze mahali pema peponi na awatie nguvu ndugu na jamaa waliofikwa na msiba
 
Back
Top Bottom