Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Naifahamu hii shule pale Kwa mrombo... Kituo cha police pale unaingia kulia.. Looh!
 
Kwa ajali hii serikali iangalie umuhimu wa kuzikarabati vizuri barabara za aina hii iweke hata kingo imara pembeni. iachane na masuala ya ununuzi wa ndege wakati raia wengi matumizi yao makubwa ni barabara.
Kwa kweli serikali imetengeneza hii Barbara vizuri sana lawama ziende kwa watumiaji kwa zile ajali zitokanazo na uzembe. Kabla ajali zilikuwa zimezoeleka. Road ipo vizuri kwa kweli.

Mungu wapokee Watoto.
 
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Dunia tunapita, hatujui tutaondokaje.
 
chanzo chake kitakuwa ni speed tu....
Mkuu hayo maeneo yana kona Kali sana, so kama sio mzoefu wa hiyo barabara na ukiwa speed... Unajitafutia balaa... Lakini ndo hivyo... Watoto wetu tu, dah!
 
OMG masikitiko makubwa. Nimesoma page 3, sijaona sehemu gani Karatu ajali ilitokea. Kuna mtelemko mkali wa Rhotia,Marera ukitokea Arusha kabla ya kuingia Karatu mjini,sijui ndo hapo. R.I.P marehemu.
Ndio hapo hapo.
 
OMG masikitiko makubwa. Nimesoma page 3, sijaona sehemu gani Karatu ajali ilitokea. Kuna mtelemko mkali wa Rhotia,Marera ukitokea Arusha kabla ya kuingia Karatu mjini,sijui ndo hapo. R.I.P marehemu.
Ni hapo mkuu
 
Dah so sad.. Mwenyezi Mungu awapumzishe mahali pema peponi.. Amina
 
wapumzike kwa amani, ila inauma sana hasa kwa wazazi wao wakipata taarifa wataumia zaidi, Mungu awatie nguvu..
 
Nimeangalia picha za bus linaonekana halijaumia sana. Yani usingetegemea vifo viwe vingi kiasi hicho kiasi kwamba nahisi kuna kitu kiko nyuma ya ajali hii ambacho sisi binadamu wa kawaida hatuwezi kukielewa.
 
OMG masikitiko makubwa. Nimesoma page 3, sijaona sehemu gani Karatu ajali ilitokea. Kuna mtelemko mkali wa Rhotia,Marera ukitokea Arusha kabla ya kuingia Karatu mjini,sijui ndo hapo. R.I.P marehemu.
Yeah hapo hapo Rhotia-Marera slope
 
Hawa watalii wameonyesha kuwajibika kuwasaidia hawa watoto na kuacha safari yao huku Vijana wakiangalia vitu vya kuchukua. Ni aibu kubwa
Mkuu tuwe wazalendo,hizo maiti zimetolewa na hao vijana kwenye magari na ni wao wamezipakia kwenye magari ya polisi.
 
MTSRIP-Poleni wazazi, ndugu, na walimu. Mola awarehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…