SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
chanzo chake kitakuwa ni speed tu....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli serikali imetengeneza hii Barbara vizuri sana lawama ziende kwa watumiaji kwa zile ajali zitokanazo na uzembe. Kabla ajali zilikuwa zimezoeleka. Road ipo vizuri kwa kweli.Kwa ajali hii serikali iangalie umuhimu wa kuzikarabati vizuri barabara za aina hii iweke hata kingo imara pembeni. iachane na masuala ya ununuzi wa ndege wakati raia wengi matumizi yao makubwa ni barabara.
Dunia tunapita, hatujui tutaondokaje.Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Mkuu hayo maeneo yana kona Kali sana, so kama sio mzoefu wa hiyo barabara na ukiwa speed... Unajitafutia balaa... Lakini ndo hivyo... Watoto wetu tu, dah!chanzo chake kitakuwa ni speed tu....
Ndio hapo hapo.OMG masikitiko makubwa. Nimesoma page 3, sijaona sehemu gani Karatu ajali ilitokea. Kuna mtelemko mkali wa Rhotia,Marera ukitokea Arusha kabla ya kuingia Karatu mjini,sijui ndo hapo. R.I.P marehemu.
Ni hapo mkuuOMG masikitiko makubwa. Nimesoma page 3, sijaona sehemu gani Karatu ajali ilitokea. Kuna mtelemko mkali wa Rhotia,Marera ukitokea Arusha kabla ya kuingia Karatu mjini,sijui ndo hapo. R.I.P marehemu.
wapumzike kwa amani, ila inauma sana hasa kwa wazazi wao wakipata taarifa wataumia zaidi, Mungu awatie nguvu..Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schools,kwa wenye updates tunaomba mtupe
Picha: Soon ntaziapload ni ajali ya mda huu
Mungu awalaze mahali pema peponi
----------------------
UPDATE: Coaster ina jumla ya abiria 30 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha
UPDATE: Picha zinakuja soon ripota yuko eneo la tukio..
![]()
.........................
UPDATES:Magari ya polisi yametanda kila kona na maiti zimebebwa na magari ya polisi
Tayari kuhifadhiwa
...................
UPDATES:Ni watoto wanne(3) wanasadikiwa wako hai ila wako mahututi kabisa na kuna wasi wasi vifo vikaongezeka
UPDATES:Lucky vincent nursery school bus![]()
UPDATES:Shughuli za uokozi
![]()
UPDATES:Gari lilikuwa na abiria 30 wanafunzi 25,waalimu (4) wote wa kiume na dereva 1
UPDATES:Kati ya majeruhi watoto watatu(3) wawili wako mahututi kabisa na mmoja amepasuka ubongo
UPDATE:Maajabu ya ajali hakuna damu zozote zilizotapakaa licha ya watu wengi sana kufa!
Nimeangalia picha za bus linaonekana halijaumia sana. Yani usingetegemea vifo viwe vingi kiasi hicho kiasi kwamba nahisi kuna kitu kiko nyuma ya ajali hii ambacho sisi binadamu wa kawaida hatuwezi kukielewa.Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki, shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schools,kwa wenye updates tunaomba mtupe
Picha: Soon ntaziapload ni ajali ya mda huu
Mungu awalaze mahali pema peponi
----------------------
UPDATE: Coaster ina jumla ya abiria 30 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha
UPDATE: Picha zinakuja soon ripota yuko eneo la tukio..
![]()
.........................
UPDATES:Magari ya polisi yametanda kila kona na maiti zimebebwa na magari ya polisi
Tayari kuhifadhiwa
...................
UPDATES:Ni watoto wanne(3) wanasadikiwa wako hai ila wako mahututi kabisa na kuna wasi wasi vifo vikaongezeka
UPDATES:Lucky vincent nursery school bus![]()
UPDATES:Shughuli za uokozi
![]()
UPDATES:Gari lilikuwa na abiria 30 wanafunzi 25,waalimu (4) wote wa kiume na dereva 1
UPDATES:Kati ya majeruhi watoto watatu(3) wawili wako mahututi kabisa na mmoja amepasuka ubongo
UPDATE:Maajabu ya ajali hakuna damu zozote zilizotapakaa licha ya watu wengi sana kufa!
Yeah hapo hapo Rhotia-Marera slopeOMG masikitiko makubwa. Nimesoma page 3, sijaona sehemu gani Karatu ajali ilitokea. Kuna mtelemko mkali wa Rhotia,Marera ukitokea Arusha kabla ya kuingia Karatu mjini,sijui ndo hapo. R.I.P marehemu.
Kafara.UPDATE:Maajabu ya ajali hakuna damu zozote zilizotapakaa licha
Mkuu tuwe wazalendo,hizo maiti zimetolewa na hao vijana kwenye magari na ni wao wamezipakia kwenye magari ya polisi.Hawa watalii wameonyesha kuwajibika kuwasaidia hawa watoto na kuacha safari yao huku Vijana wakiangalia vitu vya kuchukua. Ni aibu kubwa