Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
badilisha mind set yako,hilo tatizo ulilonalo ni sababu hauamini kuwa kuna anaye monitor maisha ya binadamu wote,haya maisha yetu MUNGU kayapanga,usidhani unaweza kuepusha kitu MUNGU alichopanga kwa akili yako.
mwanao angeweza kuwemo humo wakafa wote akapona yeye.Waache wanao wawe huru acha imani potofu,utakufa kwa presha.
hakuna unachoweza kukiepusha wewe MUNGU anachopanga,wala sisemi uwe careless.
MUNGU anaweza akakupa mtihani sehemu usioitegemea.
ThxIpo kwa morombo
[emoji120]Asante sana mkuu client kwa kulifanyia kazi ombi langu
walau sasa avatar yako iko njema.
asante sana kwa kunielewa, kwa pamoja tuijenge JF.
View attachment 505206
Nashukuru sana mkuu. Mungu ndio Tumaini letu kwa sasa.Pole sana mkuu!
Soma vzr watu ni 30( watoto 25 walimu 4 derva 1) coaster haiwezi kubeba waty 58 na watoto wakiwemo kisheriaMsiba wa kitaifa just imagine watu 58?
Asante mkuu.Pole sana mkuu
Ok hali ya wazazi ni mbaya sana kuna ambao mda huu watakua wamefika karatu tayariShule ipo arsh njia ya kuelekea kwa mrombo.
kweli. asante. hata mimi mwanzo nilidhani utani.Asante sana mkuu client kwa kulifanyia kazi ombi langu
walau sasa avatar yako iko njema.
asante sana kwa kunielewa, kwa pamoja tuijenge JF.
View attachment 505206
Hiyo gari ilivyo sio ya kuuwa wote hao... Kuna ushetani tu hapoMleta taarifa kasema mvua inanyesha!!!
Sasa maji ya mvua hayawezi kuosha hizo damu?
Ila wanaadamu tunapenda kusimulia na kushuhudia maajabu na miujiza.