Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ee Mungu nakuomba uwape nguvu wafiwa katika wakati huu mgumu .....[emoji122] [emoji122] [emoji122] amen ...R.I.P
 
Mimi mwenyewe mpaka niliwaskaa kwanza Mwananchi online kwaajili ya
confirmation , ndo nikarudi ku comment kuwa ni kweli maana kwa ile avatar
yake ya mwanzo ilikuwa kama ina miss lead habari husika. Ila right now kabadili
japo kwa muda .
kweli. asante. hata mimi mwanzo nilidhani utani.
 
Nipo kwenye Bus hapa nasafiri

Nimesoma hii habari ya ajali dah imeniuma sana kwa kweli yaani sina hata amani muda huu.

Maana hizo picha za wanafunzi zinaumiza kuziangalia jamani

Yaani hii habari imenichanganya kwa kweli

Kichwa kimeanza kuniuma na machozi yananitoka aiseeeee!!

Kuna abiria mwenzangu nimekaa nae hapa siti moja kaniuliza kaka vipi mbona umeanza kulia tena au unaumwa?

Nimemuonyesha picha za ajali kaanza kulia na yeye.

Wapendwa wana Jf hii ajali inasikitisha na kuhudhunisha sana pale ukianza kufikilia wazazi/walezi wa hawa watoto.
 
Ajari kama hizo ni za kutatanisha tena arusha usiseme. 2012 pale makumira ukitoka chuo pale darajani kabla hujafika usa ilikuwa ni asubuhi mapema basi la ngorika na haice kuelekea dar lilitafuna watu sijawahi kuona almost wote walikufa tulivyofika mda huo huo police wanatoa maiti zilizokuwa kama nyama buchani hapakuwepo na damu hata kidogo.

Yule dereva alikufa vibaya sitosahau alivyokuwa anapiga kelele ajari ilikuwa ni asubuhi saa 1 hadi saa 4 asubuhi gari la kuvuta basi lilikuwa halijafika. Chuo kizima tulikwenda kuvuta ile basi walau dereva aokoke, tulivuta tukashindwa konda alioloka alikuwa anapiga kelele akimuita kwa jina chilo chiloo nakufaaa, mida ya saa nne na nusu gari la kunyanyua basi likafika likaanza kuvuta amenatia kwenye vyuma mara kunyanyua tu juu gafla likarudi chini likammalizia tulisogea karibu ila hakukua na damu jamani sijui kwann.

Wapumzike kwa amani.
Mkuu yaani acha tu, kuna ajali nyingine ilitokea mbeya sehemu inaitwa songwe, watu walipitiwa na train walikuwa wamekaa kwenye mkutono wa dini maspeaker yalikuwa makubwa hawakusukia!! Cha ajabu hakukuwa na damu
 
Sasa safari hiyo ukute hawana kibali. Shule itakuwa matatani. Vijipesa hivi walimu tuangalie coster ni watu 25.unaweka zaidi YA 30 shídaa

Haya mambo ndio huwa tunayaongea kila siku
Watanzania tubadilike tufuate sheria
Kosta inabebaje 50!!
Basi kubwa tu ni 60
 
Back
Top Bottom