Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Mungu awapumzishe mahali pema peponi.

Poleni sana wazazi wa Wanafunzi na ndugu wa Walimu pamoja na Dereva.

Kwa Mungu kila goti litapigwa.
 
badilisha mind set yako,hilo tatizo ulilonalo ni sababu hauamini kuwa kuna anaye monitor maisha ya binadamu wote,haya maisha yetu MUNGU kayapanga,usidhani unaweza kuepusha kitu MUNGU alichopanga kwa akili yako.

mwanao angeweza kuwemo humo wakafa wote akapona yeye.Waache wanao wawe huru acha imani potofu,utakufa kwa presha.

hakuna unachoweza kukiepusha wewe MUNGU anachopanga,wala sisemi uwe careless.

MUNGU anaweza akakupa mtihani sehemu usioitegemea.

nimekuelewa mkuu ila kumbuka though we cant terminate risk we reduce it,so haya mambo tunafanya tukijua hatuwez zuia kama kutokea yamepangwa ila elewa nia tapatapa ya mzaz anaehofia kupoteza mtoto
 
Sasa akuna damu kivip ajali nyingine hiz jamani daah R.I.P
 
Nipo kwenye Bus hapa nasafiri

Nimesoma hii habari ya ajali dah imeniuma sana kwa kweli yaani sina hata amani muda huu.

Maana hizo picha za wanafunzi zinaumiza kuziangalia jamani

MUNGU WANGU
 
Dah sio kwa uchungu huu ulionipata... Eeh mola wapumzishe wanapostahil
 
Mleta taarifa kasema mvua inanyesha!!!
Sasa maji ya mvua hayawezi kuosha hizo damu?

Ila wanaadamu tunapenda kusimulia na kushuhudia maajabu na miujiza.
Hiyo gari ilivyo sio ya kuuwa wote hao... Kuna ushetani tu hapo
 
Back
Top Bottom