Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

dah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !

yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia waituumie kwa kununua kitu au waile ila sio kwenda huko trip kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"

alafu ilipotokea ajal hapo Rotia ndio pananikumbusha tukio nalojitahidi kulisahau...miaka ming sana imepita,ilikuwa nimetoka pale karatu high school kumchek mtoto wa brother wangu nkapokea simu nikiwa eneo hilo toka kwa wife ambae alikuwa pale mlala hospital ya babati akiwa analia tuu mda huo mtoto alikuwa kalazwa so nkaunganisha dotS nkajua tayal mtoto sina..alikuwa wa kiume nililia sana japo machoz hayakuonekana,nilimpata nikiwa na umri wa 17yrs yan nlikuwa nkikaaa nae watuwalihis mdogo wangu

ushaur wangu kwa wazaz na ndgu waliopoteza watotot wasilie hadi kumkosea mungu maana yatawakuta yaliyonikuta,baada ya kifo cha yule mtoto nilikufulu sana mungu kwann kachukua kidume changu matokeo yake mpaka leo kila mimba ni dume na nishachepuka japo kutafuta wa kumpa jina la mama angu napo naambulia madume!!

WAPUMZIKE KWA AMAN HAO WATOTO.
 
Staki hata kuwazia hayo matukio sijui wazazi wanakuwa kwenye hali gani? Unamlipia mtoto aende study tour ajumuike na wenzake just to make them happy alafu unakuja pata taarifa mtoto amefariki.

Yeleuwiiiii, Mungu awape pumziko roho zote zilizotangulia.
 
Mungu awapumzisho watoto wetu wazuri mahali pema peponi.

Poleni sana Wazazi, hakika ni maumivu makubwa.
 
dah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !
Pole mkuu
 
Staki hata kuwazia hayo matukio sijui wazazi wanakuwa kwenye hali gani? Unamlipia mtoto aende study tour ajumuike na wenzake just to make them happy alafu unakuja pata taarifa mtoto amefariki.

Yeleuwiiiii, Mungu awape pumziko roho zote zilizotangulia.
Mkuu ndo maisha wote twapita
 
jamani watoto .. unaweza kuta ni wa darasa moja jamani wazazi wao wapo kwenye hali gani....wapumzike kwa amani duh
We acha tu nipo na jamaa mmoja alikua eneo la tukio na kasaidia kuokoa anasema wamefariki wengi...
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom