Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,884
- 8,956
daaah too sad kwa kweli R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kifo hakikimbiwidah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !
yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia nendeni mkatembee kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"
Mkuu, inawezekana kabisa. Watoto hupenda sana kupakatana na kubanana kwenye usafiri. Nahisi hali hiyo kwao ni burudani, wagombane, wasukumane, wataniane, watukanane, watekenyenyane, n.k. Waweza wakajisunda kwenye hiace hadi usiamini.Ajali ya kuua watu 50+ mbona itakuwa ya kutisha sana. Coaster inabebaje watu 50+? Nna mashaka na idadi inayoripotiwa... Ila all in all hata kama amekufa mmoja ni jambo la kusikitisha sana...
Mungu awarehemu watoto wetu na awape faraja wazazi wenzetu.
Wapumzike kwa amani. Amen.
Mungu wangu
MUNGU wangu ,poleni wazazi, poleni sana
Kila nafsi itaonja umautiwewe mtoto itakuwa hata paka huna