mleta mada unaleta hii habari kimzaha kwanini? Umenisikitisha sana. Tunapenda mzaha ndio Kwa mambo menginine lakini siyo kama haya. Kaamon ONDOA HARAKA SANA HIYO EMOJI YA ULIMI.Nimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo, taarifa zinasema wamebaki watoto wawili tu wengine wamefariki, shule inaitwa lake school ipo Arusha ni medium schools,kwa wenye updates tunaomba mtupe
Picha:soon ntaziapload ni ajali ya mda huu
Mungu awalaze mahali pema peponi
UPDATES:Coaster ina jumla ya abiria 58 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha
UPDATES😛icha zinakuja soon ripota yuko eneo la tukio
Poleni wahanga na wafiwa Mungu awape wepesi