Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Uuuuuuwiii jamani jamani maskini weeeee eee Mungu wangu this is really sad. Sipati picha wazazi wana hali gani. Mwenyezi Mungu azipumzishe roho za marehemu wote mahali pema peponi. Amina
 
Ahsante kwa taarifa, lakini hizi picha zinasambaza simanzi zaidi.
 
Ohooooooo my God,pole sana kwa wazazi,ila hizo picha jamani.Tujifunze kupreserve intimidy za marehemu
 
Inaonyesha wazi jamaa alikuwa speed.. Sasa umepakia watoto tena wanaenda tour..haraka ya nini wakati humo barabarani tu ni sehem ya kujifunza.. Sasa unawakimbiza wee utadhani nini sjui..
 
Mungu awape faraja wazazi wa hizi familia
 
Haya maeneo yana kona Kali sana... Na hii mvua sio rafiki sana maeneo yenye kona kali... Looh! Inasikitisha saana. Wazazi poleni sana, maana najua maumivu haya, na sio kwa wazazi wa watoto hawa tu, bali maumivu haya ni kwa wazazi wote Tanzania na Dunia nzma... Roho za marehemu wapumzike kwa amani na wapate rehema kwa Mungu... Amen.
 
Back
Top Bottom