Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mkoloni kweli wala hawajakosea. Kwani ajali haiwezi kuwakuta kwenye mabasi ya shule au usafiri binafsi au huko wanakoenda kutembea kutumia hizo hela unazowapa? Kwani hili ni tukio la ngapi kama hili hapa Tanzania? Msitake kuwaongezea mzigo wa majonzi wafiwa. Wafariji maana hakuna mtu anayejua kesho yake wala ya mwanae.dah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !
yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia nendeni mkatembee kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"
Dah Mungu awalaze mahali pema. Aisee