Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Polee kwa wazazi, nadhani pia idadi ya wanafunzi ndani ya basi moja inaweza kuwa sababu ya vifo kuwa vingi maana kwa wanafunzi 58 hiyo idadi hata yutong haibebi hivyo, mgongano na kukosa hewa pia
 
Mungu awafariji wana family wote walio patwa na janga hili....Kweli dunia ina kanuni ya kutokudum kwa vitu haswa vile tuvipendavyo....Punzikeni kwa aman
 
Mkuu, inawezekana kabisa. Watoto hupenda sana kupakatana na kubanana kwenye usafiri. Nahisi hali hiyo kwao ni burudani, wagombane, wasukumane, wataniane, watukanane, watekenyenyane, n.k. Waweza wakajisunda kwenye hiace hadi usiamini.
Mungu awape wepesi wafiwa.
OMG!

Gone too soon!

RIP watoto wetu.
 
Inavyosemekana watoto washulee walikuwa wanakwenda ngorongoro katika msafar wa coaster iliyopata ajali ilikuwa yamwisho na dereva sio mzoefu wa njia hiyoo akawa anawahi ili kuwafkia wenzake walio mtangulia kufika eneo linaitwa rotya cna uhakika sanaa sababu nmesimuliwa kuna kona kona nyingi na korongo sasa jamaa akalaza kwenye konaa ikamshinda ndo ikatumbukia korongon
 
ee Mungu uwalaze pema ,,wazazi poleni sana..Nimeumia mno watato wadogo jamani
 
Coaster, abiria 58, safar ndefu
 
jamani mwenye taarifa kamili ajutuzi nimesikia kuna ajali imetokea karatu gari lenye wanafunzi limepata ajali na kuna vifo vingi ...... naogopa kutaja sina uhakika . walikuwa wanaenda kwenye mtihani wa ujirani mwema Karatu wanatokea Arusha ....
 
Inavyosemekana watoto washulee walikuwa wanakwenda ngorongoro katika msafar wa coaster iliyopata ajali ilikuwa yamwisho na dereva sio mzoefu wa njia hiyoo akawa anawahi ili kuwafkia wenzake walio mtangulia kufika eneo linaitwa rotya cna uhakika sanaa sababu nmesimuliwa kuna kona kona nyingi na korongo sasa jamaa akalaza kwenye konaa ikamshinda ndo ikatumbukia korongon
dereva huyu jamani
 
Mmh jamani hasara iliyoje kwa wazazi kupoteza watoto wao inauma sana. Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani. Ameni
 
Back
Top Bottom