Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ee Mungu nakuomba uwape nguvu wafiwa katika wakati huu mgumu .....[emoji122] [emoji122] [emoji122] amen ...R.I.P
 
Mimi mwenyewe mpaka niliwaskaa kwanza Mwananchi online kwaajili ya
confirmation , ndo nikarudi ku comment kuwa ni kweli maana kwa ile avatar
yake ya mwanzo ilikuwa kama ina miss lead habari husika. Ila right now kabadili
japo kwa muda .
kweli. asante. hata mimi mwanzo nilidhani utani.
 
Inasikitisha sana....Mungu awalaze mahali pema
 
 
Mkuu yaani acha tu, kuna ajali nyingine ilitokea mbeya sehemu inaitwa songwe, watu walipitiwa na train walikuwa wamekaa kwenye mkutono wa dini maspeaker yalikuwa makubwa hawakusukia!! Cha ajabu hakukuwa na damu
 
Sasa safari hiyo ukute hawana kibali. Shule itakuwa matatani. Vijipesa hivi walimu tuangalie coster ni watu 25.unaweka zaidi YA 30 shídaa

Haya mambo ndio huwa tunayaongea kila siku
Watanzania tubadilike tufuate sheria
Kosta inabebaje 50!!
Basi kubwa tu ni 60
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…