Saidy Hamidu
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 147
- 128
Mungu awape mapumzko mema huko walipo kiukweli kuhusu wazazi wapo katika wakati mgumu sana ni ajali mbaya sana sana.jamani watoto .. unaweza kuta ni wa darasa moja jamani wazazi wao wapo kwenye hali gani....wapumzike kwa amani duh
Durtete, pole sana. Hebu kuwa jasiri umfariji kaka yako. Ajali hii imenihuzunisha sana. Pole, pole sana.Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Atangaze hata kesho tu...Dah inauma sana mkuuHapa kazi tu atangaze siku ya maombolezo halafu usiende kazini.
Mitihani ya duniani ni mizito sana. Amen.Daaah Mungu ampe nguvu jaman polen mnoo
SawaNjiro mkuu. Nikifika huko nitakujulisha zaidi.
Hata Mimi nilijiuliza nilipoona bus ilivyo haikuumia sana haswa kuanzia kati kurudi nyuma utaona kabisa kuwa idadi kubwa ya vifo imechangiwa na abiria kutokufunga mikanda nadhani idadi ilikuwa kubwa compared to idadi ya seat (hiyo ni kawaida kwa trip za watoto) unaweza kuta seat Moja was shared.Acha kuleta fikra shirikishi.
Watoto wetu wapumzike kwa amani wakiutazamia ufufuo.
So sad! Mwenyezi Mungu awape uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu!Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Mungu akupe ujasiri pole sanaPole sana mkuu
Mkuu yaani acha tu, kuna ajali nyingine ilitokea mbeya sehemu inaitwa songwe, watu walipitiwa na train walikuwa wamekaa kwenye mkutono wa dini maspeaker yalikuwa makubwa hawakusukia!! Cha ajabu hakukuwa na damu
Pole mkuuNiko njiani kuelekea Arusha. Nimefiwa na watoto wa kaka yangu wawili katika hiyo ajali. Mungu atupatie wepesi.
sureDevil is at work...
Ingawa sio mwenyeji lakini naona kama watu wamesimama kwenye lami, au nakoseaHaya maeneo yana kona Kali sana... Na hii mvua sio rafiki sana maeneo yenye kona kali... Looh! Inasikitisha saana. Wazazi poleni sana, maana najua maumivu haya, na sio kwa wazazi wa watoto hawa tu, bali maumivu haya ni kwa wazazi wote Tanzania na Dunia nzma... Roho za marehemu wapumzike kwa amani na wapate rehema kwa Mungu... Amen.
Pole sanaPole sana kk
Asante sana mkuu. Ndio maana nimesafiri mara tu nilipopata taarifa. Ndugu zangu wengine bado hawaamini na hawataki kuamini. Kaka alikuwa na watoto hao hao ndio walikuwa wanampa faraja baada ya mke wake kuitwa na Mungu mwezi wa pili mwaka huu.Durtete, pole sana. Hebu kuwa jasiri umfariji kaka yako. Ajali hii imenihuzunisha sana. Pole, pole sana.