T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Pole sana mdau....Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Unakuja arsh sehemu gani? Tunaweza kua ni majiraniAsante sana mkuu. Ndio maana nimesafiri mara tu nilipopata taarifa. Ndugu zangu wengine bado hawaamini na hawataki kuamini. Kaka alikuwa na watoto hao hao ndio walikuwa wanampa faraja baada ya mke wake kuitwa na Mungu mwezi wa pili mwaka huu.
Masomo ya sayansi hapa ndio umuhimu wake hujitokeza.Hiyo gari ilivyo sio ya kuuwa wote hao... Kuna ushetani tu hapo
Asante mkuu.Pole sana mdau....
Mimi anani changanya anaposema wamekufa wote....
Mara aseme kuna majeruhi 3.
Mara abadilishe aseme majeruhi ni 4.
Yaani kaandika habari kwa mihemko ya kipumbavu.
Pole sana mkuu Mungu pekee ndio faraja yetu anayajua mawazo yetu,anaijua kesho yetu pia ni yeye pekee anayejua kwanini kaka anapitia ktk mapito magumu kiasi hichi, basi yeye akawe faraja kwenu hasa ktk kipindi hiki kigumu na akamfute kaka machozi na kumuwezesha kusimama tena na pia ampe dogo pumziko jema la milele "Amina"Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Kaka yangu anaishi Njiro mkuu.Unakuja arsh sehemu gani? Tunaweza kua ni majirani
kwa jinsi ilivyokita haponi mtu, tatizo school bus zinahesabika kama private transport na madereva wake wanakuwa na leseni za chini sana,Masomo ya sayansi hapa ndio umuhimu wake hujitokeza.
Impact ya gari ilisababisha movement ya objects zilizokuwa ndani ya gari (ambao ndio wapendwa watoto wetu) ambao nao walikuwa impacted kwenye gari kwa speed ya escaping velocity.
Tubuni kwa maana hamuijui siku wala saa.