Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,532
Wewe nawe kumbe ni **** kabisa.
Kama mtu hana uhakika na habari kwanini atunge mara wamekufa wote 30, Mara aseme kuna majeruhi 3, Mara 4.
Kwanini usiseme tu idadi kamili ya vifo na majeruhi siijui.
Guga ni karatu sehemu gani?
Very sad indeed![emoji19] [emoji20] [emoji17]It's happened already, can't forbid. Only that let's unite 'n pray for them.
Tutaenda kwenye mazishi sawa eheeeWe ntakufahamu tutakuwa tunakaa mtaa mmoja
Aisee poleni sana, nashindwa ku imagine hali za hao wazazi Mungu awasaidie katika hiki kipindi kigumuNiko njiani kuelekea Arusha. Nimefiwa na watoto wa kaka yangu wawili katika hiyo ajali. Mungu atupatie wepesi.
napafahamu mahali pale ni kona kali na korongo baya upande kushoto. overspeeding kwa kona hiyo ni ajali. nilishapoteza Baba mdogo hapo kwa style hiyo hiyo. madereva wa tours wanapajua sana.
Poleni sana wafiwa mdau hata wewe ulipitia huko kwa hiyo tusianze kunyoosheana vidole na wale wanaopigwa na radi huko kigoma nao wasiende shuleukitaka kugombana na mtoto mkataze kwenda hizo tour sijui walimu wanawapaga nini watoto?
Poleni sana mungu awafanyie wepesiAsante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Amen.Hakika ni mtihani ila Mungu atabaki kuwa Baba naye atawapa faraja iliyo kuu.
Asante sana mkuu.Poleni sana mungu awafanyie wepesi
Mkuu sidhani kama hii picha ya hiyo ajali ya KaratuChozi limenitoka!![emoji24] [emoji24] [emoji24]R.I.P beautiful angels!
Sawa namba yako basi Tafadhali yangu ni 0788223222Tutaenda kwenye mazishi sawa eheee
Jamani mbona hili ni zaidi ya jaribu kwake mke kapoteza leo na watoto wawili... Mungu mtazame huyu baba mateso anayopitia ni mazitoAsante sana mkuu. Ndio maana nimesafiri mara tu nilipopata taarifa. Ndugu zangu wengine bado hawaamini na hawataki kuamini. Kaka alikuwa na watoto hao hao ndio walikuwa wanampa faraja baada ya mke wake kuitwa na Mungu mwezi wa pili mwaka huu.