Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Ndugu zangu kuna taarifa nimezipat muda sio mrefu ajali imetokea rotia, basi la wanafunzi wa lucky vincent school kwa morombo. wanafunzi walikuwa wanakwenda kufanya mtihani wa ujirani mwema sasa kama kuna mtu anamwanafunzi pale afuatilie kwasasa ili kupata habari za uwakika.

e1bcbe6fbfc20bf0c0ccb5e98544f2e9.jpg
1d01df9913925c9f025738079275d0d8.jpg
fa174aab9b4582e947bf8e809941d7d1.jpg
cd9f2deee7c373a10ae9c02c512a3bac.jpg
14ff887597c3615f7dce7311fcc99623.jpg
15fb9276c2c2902342483b59b4f24d1d.jpg
ea7f7e39f9e561f920f49d8f07ba1798.jpg
84176bd1685f414bb6ba73b61e1078eb.jpg
5cf6696b25251a186d6b72827c9293ec.jpg
 
Maskini vitoto vizuri vidogo,vilivyokuwa vikipendeza,vimepotezwa maisha yao,na dereva asifuata sheria za barabarani.Mlale salama watoto wazuri.Poleni sana wafiwa wrote.Huu ni msiba wa wapenda watoto wote duniani.
 
Poleni Sana waliofikwa na msiba huu mkubwa.

Wote waliofariki, Roho zao zipumzike kwa amani!
 
Nilivyosoma kichwa cha habari tuu kidogo nipoteze fahamu watoto wangu wanasoma hapo ila bado hawajafika la saba.

Siwezi kuamini kuwa huyo ni Mungu ndio kawachukua haoo watoto kwa style hiyo nooo that's the devil's work, Mungu atusaidie na Hawa watoa makafara jamani very sad
 
Asante sana ndugu yangu. Acha tu ni Kama ndoto ambayo tunaomba tuamke usingizini tukute sio kweli. Kaka Presha imepanda kaanguka yuko hospital hajaamka mpaka sasa. Amezika MKE wake mwezi wa pili mwaka huu.
Aisee inapain sana kk!! Yaani habari mbaya kama hizi sisikie tu, lakini ikikukuta!! Mungu ndio anajua! Niseme tu kuwa Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi, Amina
 
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Mkuu ajali inatokea muda wowote kwa mtu yeyote unaweza ukawa na gari lako binafsi ukasafiri nalo kama imepangwa kutokea itatokea tu cha muhimu mungu aweke roho zao mahali pema.
 
Wewe ni mkoloni kweli wala hawajakosea. Kwani ajali haiwezi kuwakuta kwenye mabasi ya shule au usafiri binafsi au huko wanakoenda kutembea kutumia hizo hela unazowapa? Kwani hili ni tukio la ngapi kama hili hapa Tanzania? Msitake kuwaongezea mzigo wa majonzi wafiwa. Wafariji maana hakuna mtu anayejua kesho yake wala ya mwanae.
Unayajua maumivu ya Kupoteza mtoto?ukipoteza mtoto unafikiria mengi anapokuaga japo huwezi kumkinga na chochote,huwa unahisi unamuepusha,mshikaji sio mkoloni,tahadhari tu kama mzazi amewahi kupoteza mtoto hujui kwa mazingira gani
 
Back
Top Bottom