Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Hilo gari imekuwaje hadi wa nyuma wamekufa wakati linaonesha nyuma pako vizuri sana?
Unaweza husiumie popote ila ukafa kwa mshituko na BP .
Pole kwa wafiwa na Mungu awatie nguvu katika kipindi kigumu mnachopitia, sisi sote ni wapitaji katika dunia hii yatupasa kutengeneza maidha yetu.
 
Mwenyezi Mugu awapumzishe kwa amani na azipe familia zao ustahimilivu kwenye wakati huu mgumu wanaoupitia [emoji120]
 
Hakika nimehuzunika sana, hususani nikiwafikiria hao wototo.
 
HIVI MAANA YA KUTOA MAPICHAPICHA YA MAREHEMU NI NINI??? HAKUNA HAJA YA KUTOA HAYO MAPICHA, TUMESHAJUA KUNA AJALI YA WATOTO WA SHULE FULANI, TUMESHAJUA IDADI INATOSHA.
Ungeamini bila picha?muombe kuwa tumeshaona mkuu sasa tunakuomba uzitoe!
 
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
nakubaliana na wewe, pia ni muhimu kuacha safari zisizo za lazima kipindi kama hiki cha mvua nyingi!!
 
Nadhani wengi wamefariki kwa mshtuko na sio majeraha yanayoweza kuonekana kama ajali zingine
 
This is very sad. Mungu awatie nguvu wafiwa. Ndoto zao zimezimwa ghafla, ni jambo ambalo huwezi ku-imagine.
 
Mkuu VIP kuhusu miili kuletwa mount meru mortuary Manake Tuko hapa na hatujaambiwa chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…