kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
poleni sana wafiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza husiumie popote ila ukafa kwa mshituko na BP .Hilo gari imekuwaje hadi wa nyuma wamekufa wakati linaonesha nyuma pako vizuri sana?
Oky....mi nipo hukuhuku ffu jirani na shule.Kaka yangu anaishi Njiro mkuu.
Ungeamini bila picha?muombe kuwa tumeshaona mkuu sasa tunakuomba uzitoe!HIVI MAANA YA KUTOA MAPICHAPICHA YA MAREHEMU NI NINI??? HAKUNA HAJA YA KUTOA HAYO MAPICHA, TUMESHAJUA KUNA AJALI YA WATOTO WA SHULE FULANI, TUMESHAJUA IDADI INATOSHA.
nakubaliana na wewe, pia ni muhimu kuacha safari zisizo za lazima kipindi kama hiki cha mvua nyingi!!Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
Ni kweli wazitoe sasa, for the sake ya relativesUngeamini bila picha?muombe kuwa tumeshaona mkuu sasa tunakuomba uzitoe!
Mkuu VIP kuhusu miili kuletwa mount meru mortuary Manake Tuko hapa na hatujaambiwa chochoteNimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki,
shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schools,kwa wenye updates tunaomba mtupe
.............
UPDATES:Ajali imetokea mlima marera kijiji cha rhotia,km chache sana kutoka Karatu mjini,mlima huo una mteremko mkali na daraja na pia kulikuwa na ukungu
Picha: Soon nitaziapload ni ajali ya muda huu
Mungu awalaze mahali pema peponi
----------------------
UPDATE: Coaster inasadikiwa kuwa na zaidi ya abiria 30 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha
UPDATE: Picha zinakuja soon ripota yuko eneo la tukio..
![]()
.........................
UPDATES:Magari ya polisi yametanda kila kona na maiti zimebebwa na magari ya polisi
Tayari kuhifadhiwa
...................
UPDATES:Ni watoto watatu (3) wanasadikiwa wako hai ila wako mahututi kabisa na kuna wasiwasi vifo vikaongezeka
UPDATES:Lucky vincent nursery school bus![]()
UPDATES:Shughuli za uokozi
![]()
UPDATES:Gari lilikuwa na zaidi ya abiria 30 wanafunzi 25,waalimu (4) wote wa kiume na dereva 1
................
UPDATES:Kati ya majeruhi watoto watatu(3) wawili wako mahututi kabisa na mmoja amepasuka kichwa
................
UPDATES:Maajabu ya ajali hakuna damu zozote zilizotapakaa licha ya watu wengi sana kufa!
..................
UPDATES:Majeruhi mmoja kati ya( 3) amefariki kabla ya kufikishwa hospitali,kwa hiyo taarifa zinasema wamebaki majeruhi wawili walioko ICU
...............
UPDATES:Kuna mkanganyiko mwingi kuhusu chanzo cha ajali ila nature ya eneo la ajali ni mteremko mkali na kuna daraja,ni eneo ambalo dereva anatakiwa kuwa makini kabisa,kwa dareva asiyemwangalifu inaweza tokea lolote,hebu angalia hapo gari lilipotumbukia na haikuwa ina over take ,u can diagnose the nature of an accident![]()
UPDATES:Mwonekano wa gari kwa mbele baada ya kupata ajali
![]()
UPDATES:RPC Wa arusha amethibitisha jumla ya vifo 31 vya waalimu na wanafunzi
R.I.P all
Client:Jf member