kiloriti
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 483
- 1,135
Iyo heading ameandika huyo msukule wa Lumumba
Usimlaumu kwasabu anametuma ujumbe akiwa anapakatwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyo heading ameandika huyo msukule wa Lumumba
Siku kilio na msiba kitakapokua kwako,hautapongeza ujinga.kua na akiliYaani yamekuwa makelele mtindo mmoja. Japo ni habari ya huzuni sana lakini nimejikuta nikitabasamu. Utafikiri kilichosemwa ni uwongo!
Unafikiri wote humu ni wanachama wa hivyo vyama vyenu [emoji21], toa taarifa vizuri huo ni msiba mzito ndugu...watu tunaomboleza wewe unaleta utani,inaonesha ni jinsi gani umedumaa akili.Waziri Mkuu Mstaafu, Edward
Lowassa ametuma salamu za rambi
rambi kutokana na tukio la watu 32
kufariki dunia katika ajali ya basi.
Waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi Karatu, ni wanafunzi 29, walimu wawili, pamoja na dereva wa gari hilo.
“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali hiyo, ni ajali mbaya ambayo inaifanya siku hii kuwa mbaya katika
historia ya nchi yetu,”alisema Miongoni mwa wanafunzi waliofariki ni pamoja na wanaume 11 na wasichana 18.
Kadhalika maiti 32 zikiwamo za walimu wawili, dereva mmoja na wanafunzi 29 zimepokelewa sasa hivi katika Hospitali ya Lutheran Karatu.
Chanzo: Mwananchi.
Ya kupika hiiWaziri Mkuu Mstaafu, Edward

Ukimkuta shoga hana bwana muda mrefu hata akili yake inakuwa ya aina hii.Waziri Mkuu Mstaafu, Edward
Lowassa ametuma salamu za rambi
rambi kutokana na tukio la watu 32
kufariki dunia katika ajali ya basi.
Waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi Karatu, ni wanafunzi 29, walimu wawili, pamoja na dereva wa gari hilo.
“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali hiyo, ni ajali mbaya ambayo inaifanya siku hii kuwa mbaya katika
historia ya nchi yetu,”alisema Miongoni mwa wanafunzi waliofariki ni pamoja na wanaume 11 na wasichana 18.
Kadhalika maiti 32 zikiwamo za walimu wawili, dereva mmoja na wanafunzi 29 zimepokelewa sasa hivi katika Hospitali ya Lutheran Karatu.
Chanzo: Mwananchi.
Naona jotoridi limekuanda, sasa umeanza kutikisia wanaume kamsambwanda wako.Mods mtarekebisha baada ya Vilio vingi heading ya Mwananchi ni hii hapa chini
"Lowassa awalilia wanafunzi, maiti 32 zapelekwa mochwari''
Hii taarifa sidhani kama chanzo cha habari ni mwananchiWaziri Mkuu Mstaafu, Edward
Lowassa ametuma salamu za rambi
rambi kutokana na tukio la watu 32
kufariki dunia katika ajali ya basi.
Waliofariki katika ajali hiyo iliyotokea leo asubuhi Karatu, ni wanafunzi 29, walimu wawili, pamoja na dereva wa gari hilo.
“Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali hiyo, ni ajali mbaya ambayo inaifanya siku hii kuwa mbaya katika
historia ya nchi yetu,”alisema Miongoni mwa wanafunzi waliofariki ni pamoja na wanaume 11 na wasichana 18.
Kadhalika maiti 32 zikiwamo za walimu wawili, dereva mmoja na wanafunzi 29 zimepokelewa sasa hivi katika Hospitali ya Lutheran Karatu.
Chanzo: Mwananchi.
Nimeshangaa... mtoa post alikuwa na lake jamboDuuuh mwananchi ndo wametoa habari kwa heading kama hiyo?
Da inasikitisha sana watoto angali ni wadogo ndo wameshakwenda sisi sote ni wa Allah na kwake ni wenye KurejeaNimepata habari isiyo na shaka kuwa gari aina ya coaster limeua watoto karibu wote waliokuwa wanaelekea mjini Karatu kwa ziara ya kimasomo including(joint examinations), taarifa zinasema wamebaki watoto(3) tu wengine wamefariki,
shule inaitwa Lucky Vincent Nursery & Primary School ipo Arusha ni medium schools,kwa wenye updates tunaomba mtupe
.............
UPDATES:Ajali imetokea mlima marera kijiji cha rhotia,km chache sana kutoka Karatu mjini,mlima huo una mteremko mkali na daraja na pia kulikuwa na ukungu
Picha: Soon nitaziapload ni ajali ya muda huu
Mungu awalaze mahali pema peponi
----------------------
UPDATE: Coaster inasadikiwa kuwa na zaidi ya abiria 30 na wote wanasadikiwa wamefariki,maiti zimepelekwa hospitalini na watu wameondoka eneo la tukio,mvua inanyesha
UPDATE: Picha zinakuja soon ripota yuko eneo la tukio..
![]()
.........................
UPDATES:Magari ya polisi yametanda kila kona na maiti zimebebwa na magari ya polisi
Tayari kuhifadhiwa
...................
UPDATES:Ni watoto watatu (3) wanasadikiwa wako hai ila wako mahututi kabisa na kuna wasiwasi vifo vikaongezeka
UPDATES:Lucky vincent nursery school bus![]()
UPDATES:Shughuli za uokozi
![]()
UPDATES:Gari lilikuwa na zaidi ya abiria 30 wanafunzi 25,waalimu (4) wote wa kiume na dereva 1
................
UPDATES:Kati ya majeruhi watoto watatu(3) wawili wako mahututi kabisa na mmoja amepasuka kichwa
................
UPDATES:Maajabu ya ajali hakuna damu zozote zilizotapakaa licha ya watu wengi sana kufa!
..................
UPDATES:Majeruhi mmoja kati ya( 3) amefariki kabla ya kufikishwa hospitali,kwa hiyo taarifa zinasema wamebaki majeruhi wawili walioko ICU
...............
UPDATES:Kuna mkanganyiko mwingi kuhusu chanzo cha ajali ila nature ya eneo la ajali ni mteremko mkali na kuna daraja,ni eneo ambalo dereva anatakiwa kuwa makini kabisa,kwa dareva asiyemwangalifu inaweza tokea lolote,hebu angalia hapo gari lilipotumbukia na haikuwa ina over take ,u can diagnose the nature of an accident![]()
UPDATES:Mwonekano wa gari kwa mbele baada ya kupata ajali
![]()
UPDATES:RPC Wa arusha amethibitisha jumla ya vifo 31 vya waalimu na wanafunzi
...................
UPDATES:Taarifa kutoka mjini Karatu zinasema kuwa majeruhi hali zao ni mbaya zaidi na wanakimbizwa hispitali ya rufaa ila mtoto mmoja ni mzima![]()
...............
UPDATES:Mtoto pekee alienusurika amesimulia chanzo cha ajali na amesema kuwa gari lilifeli break tokea mwanzo wa kushuka mlima hali iliyopelekea watoto na waalimu kupiga makelele na kilichofuata ni gari kupaa na kupinduka kwani nature yake sio slope kivile kuna miinuko kidogo
My take:Kulingana na maelezo hayo inaonekana gari lilifeli break,kupoteza mwelekeo na kupinduka ingawa bado polisi hawajatoa taarifa za chanzo cha ajali Bali walitaja idadi ya vifo 31 tu
...............
UPDATES:Majina ya waliofariki
![]()
![]()
MUNGU AWALINDE NA KUWAREHEMU ITS SO SAD
![]()
R.I.P all
Client:Jf member
Is this condolence thread or gutter politics corner?Duu nimeshangaa Ukisema Lowassa alijiuzulu kwa Kashifa ya Ufisadi unatukanwa hivi BBC NEWS | Africa | Tanzanian PM to resign over graft