Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Mbona hajaenda??? Si yupo Jirani tu hapo! Au uchaguzi ukikaribia ndio anaendaga misibani kwa msafara na kula kwa mama ntilie Tandale!
 
Inasikitisha sana lakini ndio mipango ya Mungu hatuna namna yatupasa kukubali matokeo!

Mwenyezi Mungu azipokee roho za wapendwa wetu waliotutangulia kupitia ajali hii!
 
Mkuu unafeli sana ku'report habari za watoto waliofariki kama hivi, ingekua upo jela watu kama nyie dawa yenu ni kuliwa tu. Kuwa na adabu.
Si mpaka awe jela, huyu analiwa huku huku uraiani.
 
tuseme ukweli school bus ya bei ndogo ni TATA ambalo linauzwa 100m shule ngapi zinamudu kununua? ukizingatia huyu bwana mkubwa ana negative altitude na sekta binafsi. Wamiliki wa shule hawafanyi biashara wanatoa huduma, serikali lazima itie mkono wake, hizi shule zipewe ruzuku basi zipewe sawa na shule za serikali zinavyopewa angalau.

Mafao watudhulumu, vyeti wavichane, makato ya helsb yaongezwe, pesa za nhif wakajengee majengo udom na hayo majengo wakae wao kwa kisingizio cha kuhamia dodoma na wanetu waachwe wajifie kwenye school bus mbovu, hapana hili hatukubaliani nalo.
 
Nipo bro, nilikuwa kwenye ban flani hivi hahahaha, lesson learned! Indeed ISIS ni Goddess wa magical powers!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Duu jamaa hiyo heading umenifanya nicheke kwa sauti, lakini ndio hivyo ukweli mchungu.
 
Nikiskia ajari ya gari siku yangu huwa mbaya.wazazi poleni sana .Mungu azipokee roho zao.Amen
 
Mungu azipumzishe roho za hawa watoto mahali pema
Poleni sana wazazi waliondokewa na watoto wao na kwa wengi kwa kweli huu ni msiba mzito sana sana
Upo shemeji.......ni msiba mzito kwakweli. Mungu awape faraja wafiwa wote
 
Ni habari mbaya sana kwa jumamosi ya leo, tumbo la uzazi limenikata..........RIP watoto na walimu, poleni ndugu jamaa na marafiki mlioguswa na huu msiba
 
Dah,yako mambo mengi sana yaliyofichika kwa mwanadamu ndomana huwa tunatoaga ushauri mwingi sana baada ya matukio,lkn jumla ya mambo yote hayo ni mapepo tu na wala co yote ni mipango ya Mungu
Ninacho shangaa idadi ni kubwa lakin basi bado zima nyuma inamananwatoto hawakusimamiwa kufunga mikanda au kitu gani hapo!!?? Maana ukiliona basi lilivyo na idadi ya walio tutangulia inachanganya hapa ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…