Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

Hili ni tatizo kubwa sana kungekuwa ni lazima kila bus la shule ni seat belt na sheria ziwe kali maana inaweza hata kutokea town tu watoto wakiwa wanaenda au kurudi hili la belt ni live saving kwa asilimia 90
 
Anaeweza kuelezea uchungu halisi wa hili tukio ni mtu aitwae mzazi... Wengine wanaeza tu kuwa wafuata upepo.. Nikiwa mzazi ambae pia nasomesha nimeumia kupita maelezo nipo namuangalia mwanangu hapa huku fikra zikinipeleka kwa wazazi waliopoteza watoto... Inauma sana, poleni wazazi wenzangu.. Watoto wamepumzika tutaonana nao tena mbinguni... Amina..!!
 
R.I.P naona Kuna Sir name Zinafanana huenda Ndugu pia wamekufa.

Justine Alex
Anold Alex

Aisha Said
Subrina Said
Kuna mdau humu alisema kaka yake kapoteza wawili.

Huenda wakawa ndio btn hao...
MAY THEIR BEUTIFUL SOUL RESTBIN PEACE
 
Ohh! That is so sweet, napata goosebumps walahi!
 
Ni kweli hii ni kazi ya Mungu? Na ipi hasa nikazi ya shetani kama Mungu naye anajihusisha na ukatili kama huu?
Pale unapo amua kuwa mzembe....Mungu atashuka kukufundisha..... Eneo lenyewe tu ukiliona hata bila kusoma alama unajiongeza mwenyewe kuwa makini. Hali ya hewa na mteremko mkali ulitosha kumuongoza dereva....sema tu maji yaki mwagika hayawezi kuzoleka tena.

Rip watoto wetu.
 
Mungu awalaze marehemu mahali pema peponi,awape uimara familia za wafiwa,imeniuma kweli,so sad.
 
R.i.p ila utashangaa kesho mwenye shule biashara inakubali ananunua mabus 10 na shule inapanuka gafraàa!!

Nilijua hizi Post za hivi lazima ziwepo leo.


Kwa hiyo unataka kusema mwenye shule ametoa Sadaka?

Acheni upuuzi wenu.
 
Mwenyezi Mungu azilaze mahali peponi roho za marehemu. Poleni sana wazazi mliopoteza wapendwa wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…