Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Poleni sana.Niko njiani kuelekea Arusha. Nimefiwa na watoto wa kaka yangu wawili katika hiyo ajali. Mungu atupatie wepesi.
R.I.P watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana.Niko njiani kuelekea Arusha. Nimefiwa na watoto wa kaka yangu wawili katika hiyo ajali. Mungu atupatie wepesi.
Hili ni tatizo kubwa sana kungekuwa ni lazima kila bus la shule ni seat belt na sheria ziwe kali maana inaweza hata kutokea town tu watoto wakiwa wanaenda au kurudi hili la belt ni live saving kwa asilimia 90kwa mujib wa mtoto manusuru amesema gari ilifail break mwanzo wa mteremko...walim na wanafunzi wakaanza kupoga kelele....
mind you..watoto wengi sana wa hizi shuke huwa wanapenda kusimama hawaki kwenye viti..full kuchungulia nje..naamink hawa wengi wamekufa kwa kujigonga kwenye roof ya gari baada ya gari kukita kule chini.....
AmenAmen
Kuna mdau humu alisema kaka yake kapoteza wawili.R.I.P naona Kuna Sir name Zinafanana huenda Ndugu pia wamekufa.
Justine Alex
Anold Alex
Aisha Said
Subrina Said
Ohh! That is so sweet, napata goosebumps walahi!Iliwahi kutokea huku Zanzibar kuna shule moja wanafunzi walienda pwani wanavyosema kwa masuali ya kusoma. Sijui ilikuwaje wakaawacha wtt wakapanda kidau tena wala haikuwa maji ya mbali sana. Kidau kikapinduka wanafunzi 11 walikufa alibaki mmoja tu ambae alisaidiwa na urefu wake. She is a big girl now.
Pale unapo amua kuwa mzembe....Mungu atashuka kukufundisha..... Eneo lenyewe tu ukiliona hata bila kusoma alama unajiongeza mwenyewe kuwa makini. Hali ya hewa na mteremko mkali ulitosha kumuongoza dereva....sema tu maji yaki mwagika hayawezi kuzoleka tena.Ni kweli hii ni kazi ya Mungu? Na ipi hasa nikazi ya shetani kama Mungu naye anajihusisha na ukatili kama huu?
Ndo tatizo la kula kwa mama na baba hujuwi hata baba ako ana pataje pesa.Acha mawazo ya kingese, umekaa kishirikina shirikina.
R.i.p ila utashangaa kesho mwenye shule biashara inakubali ananunua mabus 10 na shule inapanuka gafraàa!!
SawaNafikiri utakuwa ni mwendo kasi.