Ajali ya Gari Karatu Arusha: Coaster yaua Wanafunzi na walimu wa Lucky Vincent (karibu wote)

We acha tu nipo na jamaa mmoja alikua eneo la tukio na kasaidia kuokoa anasema wamefariki wengi...
Jamani poleni wote kwani msiba huu ni wetu sote.Mtaa mzima wa jirani na shule ni vilio na huzuni tupu hadi unashindwa sasa uende kwa nani.Naomba niweke jambo moja sawa hapa,hawa watoto walikuwa wanaenda kufanya mtihani wa ujirani mwema na shule moja iliko Karatu na wala hawakua wanaenda kwenye study tour.
 
Eeh Mungu weweh jamani jamaniii inauma sana aiseeh! Mungu tu awape faraja wazazi pamoja ndgw jamaa na marafiki
 
Acha mihemko dogo..
Kufanana surname hakumaanishi watu ni ndugu, hata kama wanasoma darasa moja....
Tena majina yenyewe yeboyebo sana hayo. Nashangaa kwanini unahemka hivo!!
Unaelewa maana ya Huenda? Acha Kutumia viungo vyako unavyokalia Kufikiri
 
mungu awalaze pema marehemu, pia awape wazazi moyo wa uvumulivu ktk kipindi hiki kigumu
 
Kuendelea na safari ni kukosa utu in my view. Mnafanyeje mitihani ambayo siyo ya kitaifa huku wenzenu wakiwa wamepata ajali
 
R.I.P
Hilo jina la (25) Paulo Thomas naona limekwatwa kwahiyo kweny hiyo list aliwekwa kwa bahat mbaya?
Ni mbaya sana mtu hai kumchanganya na marehemu
Umeenda mbali ila kuna ka ukweli hapo
 
R.I.P
Hilo jina la (25) Paulo Thomas naona limekwatwa kwahiyo kweny hiyo list aliwekwa kwa bahat mbaya?
Ni mbaya sana mtu hai kumchanganya na marehemu
Na bado wamem consider kama MTU wa 25 huoni namba imeendelea 26 27
 
Poleni wafiwa
Traffic waiangalie pia barabara kuanzia Makutano hadi Tarime bus za Batco, Zakaria na Kisire zinakimbia sana.
Distance ya Makutano mpaka Tarime ni 66 km, hizi bus zinatumia dk 35 mpaka 45!!!
Kama hatua hazitachukuliwa na watu wa usalama ipo siku ajari mbaya itatokea.
 

Pole sana mkuu.Hivi,hiyo mitihani wakifanyia shuleni kwao wakalinganisha matokeo kuna ubaya gani? Japo siku ikifika tu lazima,lakini fikilia kama ni dalasa moja au mawili! Unadhani kupata walimu tena na watoto waliobaki watarudi katika hali ya kawaida ili waweze kusoma baada ya mda gani?
Yupo rafiki yangu mmoja,watoto walitokaga hivo,wakaenda kutalii,kurudi mtoto anajichekesha ovyo,akienda toilet mpaka umutoe,na akifika anakaa tu,mavazi,kama hajajitandia ndani hapakaliki,mwisho wa siku alishaharibika hadi pad mpaka avishwe,nasikia yaliwapata wakiwa 4 na wote mpaka leo hii wako hivyo. Wazazi wakati mwingine waangalie mambo yasiyo ya lazima,japobwengine wataweka pingamizi
 
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
ya mungu mengi 13 megapixel. mungu awalaze mahala pema ameh. ajali hizi sometimes sikia tu, ukiwa dereva wa masafa njiani kuna mambo mengi
 
Rip na polen wafiwa wote
N ajali mbaya kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…