Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,097
Mungu naomba uwarehemu kwa wingi wa rehema zako,,,,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani poleni wote kwani msiba huu ni wetu sote.Mtaa mzima wa jirani na shule ni vilio na huzuni tupu hadi unashindwa sasa uende kwa nani.Naomba niweke jambo moja sawa hapa,hawa watoto walikuwa wanaenda kufanya mtihani wa ujirani mwema na shule moja iliko Karatu na wala hawakua wanaenda kwenye study tour.We acha tu nipo na jamaa mmoja alikua eneo la tukio na kasaidia kuokoa anasema wamefariki wengi...
Watoto 29 na watu wazima 3, hakika ni msiba wa taifa!30?msiba wa taifa huu.
Habari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport
please shut up 13 mpixel!jamani watoto .. unaweza kuta ni wa darasa moja jamani wazazi wao wapo kwenye hali gani....wapumzike kwa amani duh
Unaelewa maana ya Huenda? Acha Kutumia viungo vyako unavyokalia KufikiriAcha mihemko dogo..
Kufanana surname hakumaanishi watu ni ndugu, hata kama wanasoma darasa moja....
Tena majina yenyewe yeboyebo sana hayo. Nashangaa kwanini unahemka hivo!!
Kuendelea na safari ni kukosa utu in my view. Mnafanyeje mitihani ambayo siyo ya kitaifa huku wenzenu wakiwa wamepata ajaliNdg zangu.
Taarifa zilizonifikia hivi punde nikiwa hapa Arusha, wanafunzi waliofariki wamefunga 33. Ikumbukwe, waliofariki papo hapo ni 32, wawili walinusurika na kuwahishwa hospital. Mmoja kati ya hao, ametutoka.RIP.
Na Yale mabasi mengine 2, wanafunzi waliendelea na safari mpk mjin Karatu kuendelea na mtihani wao, hawakuambiwa na mpk sasa hao wenzao hawajui kilichotokea. Magari hayo 2, yalikuwa mbele ya hilo lililopata ajari.
RIP
Umeenda mbali ila kuna ka ukweli hapoR.I.P
Hilo jina la (25) Paulo Thomas naona limekwatwa kwahiyo kweny hiyo list aliwekwa kwa bahat mbaya?
Ni mbaya sana mtu hai kumchanganya na marehemu
Na bado wamem consider kama MTU wa 25 huoni namba imeendelea 26 27R.I.P
Hilo jina la (25) Paulo Thomas naona limekwatwa kwahiyo kweny hiyo list aliwekwa kwa bahat mbaya?
Ni mbaya sana mtu hai kumchanganya na marehemu
dah ndio maana mimi watoto wakinambiaga maswala ya kwenda ziara nawakataliaga kwa sabab ya vitu kama hivi ila kwakuwa wao hawajui waniita mkoloni yan inafikia hatua wakiwa wananiulizia wanasema"mama,mzee mkuda yupo ndani au bado hajaludi"........dah maumiv ya kupoteza mtoto ni mazito jaman mi yashanikuta !
yan mimi watoto wakinambiaga haya mambo ya ziara nawauliza mchango ni tsh ngap wakishanambia nawapa hiyo pesa nawawambia waituumie kwa kununua kitu au waile ila sio kwenda huko trip kuna siku mtoto alijibu jibu flan sitasahau,alinijibu"baba wewe sio mzee ila mbona una mambo ya kikoloni hivo,ungekuwa unatukataza bila kutupa hizi pesa ambazo zingekuwa ghalama ya trip tungehisi m'bahili"
alafu ilipotokea ajal hapo Rotia ndio pananikumbusha tukio nalojitahidi kulisahau...miaka ming sana imepita,ilikuwa nimetoka pale karatu high school kumchek mtoto wa brother wangu nkapokea simu nikiwa eneo hilo toka kwa wife ambae alikuwa pale mlala hospital ya babati akiwa analia tuu mda huo mtoto alikuwa kalazwa so nkaunganisha dotS nkajua tayal mtoto sina..alikuwa wa kiume nililia sana japo machoz hayakuonekana,nilimpata nikiwa na umri wa 17yrs yan nlikuwa nkikaaa nae watuwalihis mdogo wangu
ushaur wangu kwa wazaz na ndgu waliopoteza watotot wasilie hadi kumkosea mungu maana yatawakuta yaliyonikuta,baada ya kifo cha yule mtoto nilikufulu sana mungu kwann kachukua kidume changu matokeo yake mpaka leo kila mimba ni dume na nishachepuka japo kutafuta wa kumpa jina la mama angu napo naambulia madume!!
WAPUMZIKE KWA AMAN HAO WATOTO.
ya mungu mengi 13 megapixel. mungu awalaze mahala pema ameh. ajali hizi sometimes sikia tu, ukiwa dereva wa masafa njiani kuna mambo mengiHabari mbaya sana, poleni wazazi mm ni mmoja wa wazazi ambaye sipendi kabisa vi trip vya pamoja iwe ni kwa watu wazima au watoto i prefer private transport